Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona

Rais: Anasema wizara iseme ukweli, data za wanaopona yeye anazo ni zaidi ya 100, ila eti imetajwa 11 tu.

Rais: Kwenye mitandao inaonekana namba za simu nyingi siyo za Tanzania, zinatumika kutangaza uongo na kuleta taharuki.
 
amewapongeza tu maaskari wetu kwa kutulinda kipindi hiki na kawapongeza madaktari wetu pia..
Usilolijua ni kama usiku Wa Giza
Raisi kafanya vema kukutana na vyombo vya ulinzi na usalama hasa wakati huu ni very critical kwa Tanzania kuonyesha tunaweza

Tanzania tu ndio inaweza simama kidete wakati huu bila Tanzania kusimama kidete dunia itashangaa Mungu bariki Tanzania, bariki rais bariki vyombo vya ulinzi na usalama
 
Mzee kagomea lockdown..namuona hapa anaiomba bank ya dunia itusamehe madeni by percentage..!
 
Watu naona wana chuki tu na raisi wetu wengi hawajui rais anaweza kuhutubia taifa hata akiwa mkoa wowote wa tanzania na mahali popote tanzania mfano kila mkoa kuna ikulu ya rais

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera rais ,asije tu hakatangaza Makao makuu yameamia Geita .Dodoma tu katukomesha sasa hii Corona ikiendelea miezi mingine viwili paaap tunahamia Chato
 
Uncle nimekukubali, unajua majority ya watu wako ni wa aina gani na umetujibu kutokana na level zetu za uelewa. Kwa hili hongera
 
Duh katema shit kinyama! Sasa Rostam mbona anawekwa tena matatani? Eti dawa iliyopulizwa inawezekana ndiyo imeleta Corona!
 
Utv Utv wako live mbona long time
 
Mzee anasema Dar es Salaam haiwezi kuwa lockdown kwa sababu uchumi wa nchi unategemea revenues by 80 percent.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…