Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona


Mkuu umegonga kichwani kabisa. Jamaa hajui hata anachokifanya, tumekwisha kama nchi.
 
Ma wee, aigoo. Wamekatika tena.
Bongo hakuna Corona Lavalava
 
Hahahhaha.. Chadema wamepanic wanatamani hata ardhi ipasuka waingie ili wasiwe wanasikia jina Magufuli

Sent using Jamii Forums mobile app
yani kwa haraka-haraka jamaa ameshatoa maboko ya kutosha, bora akabaki kimya.
- Fumigation iliyofanyika Dar ni upuuzi mtupu, kwanza huenda ndiyo inaeneza Corona
- Mask za misaada zina korona

nimekuandikia maboko mawaili tu ambayo yataenda viral very soon.
 
Yani katumia jeshi kufanya uchunguzi juu ya Corona. Naona ameanza chuki na wizara sijui kwakuwa inasema ukweli? Kaongea mambo ya ajabu kweli kweli!
Kwamba sahvi hawapiki
 
Kwa aliyoongea naona mitambo imekasirika imeamua ijikate. Rais gani anaongea vile? Umewahi ona wapi wewe!
 
Afadhali lockdown haipo maana sasa ingekua balaa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…