Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiv rais ameongelea protection ya wafanyakazI It is none of his bussiness!
 

Yani acha tuu
Hapo ndipo panapo nikela zaidi yeye ni uongo uongo tu kwenye kila kitu, Alisema nchi ina hela(akiba) za kutosha Sahivi analia lia kuomba Mkopo WB na IMF na amenyimwa..
Anatuona Sisi ni mapopoma Sana
 
Pale ndio Tanzania lakini sio ofisi ya umma? Yani mtu yupo kwake wewe unasema Ujinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mbona maswali yako hayaendani na conclusion yako? Au nisome Tena kwa Mara ya tatu?
 
Rais Magufuli amefanya maamuzi sahihi Mungu anatupesha na corona
 
Kwamba miaka yote hiyo ya kuwa mbunge na Waziri hana other sources of income?Basi nchi yetu itakuwa na bahati mbaya
 
Hata mtoto wa kindergarten huwa anamuona mtoto std 1 ana akili sana.
it's understandable!
 
Nimeandika nimefuta nimeandika nimefuta yaani.


Sent using Jamii Forums mobile app
 

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hivi mkuu haya maneno uliyoyaandika mkikutana live unaeza kumfikishia mlengwa live live?
 
Ningependa kunukuu maneno ya mh rais magufuli leo hii katika hotuba yake aliyoitoa kule chato

Amesema

"Hakuna virusi wanaokufa kwa 'fumigation', kilichofanyika Dar es Salaam cha kupuliza dawa yenye kemikali ni upuuzi. Wanaokufa kwenye '`fumigation` ni mende na si virusi ikiwemo virusi vya corona" Rais Magufuli

Je Ile project ya fumigation pesa yake imetoka katika bajeti ipo ya mkoa?
Na je mganga mkuu wa mkoa hajui kuwa fumigation haiui virus hususani wa corona?

Inafikirisha hili jambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna Mambo mengine yataleta impact badae sana
Miezi mitatu mbele naona vile Tanzania tutakua haturuhusiwi kwenda nchi nyingine simply because ya uzembe wa jinsi tunavyoshughulikia Corona

Haya shule na vyuo wazifungue maisha yaendelee Kama kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…