[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ujinga bado ni tatizo kubwa Tanzania. Stupidity is still common in Tanzania.
Mtu anatoka kule ameshiba utumbo wa bata anaandika mambo ya hovyo hovyo na ajabu unakuta ni mzazi ana watoto wanamtegemea kujifunza kutoka kwake.
Hizi nchi zetu kuendelea bado sana kwa sababu ujinga bado ni tatizo kubwa kiliko hata magonjwa.
Sent using Jamii Forums mobile app