"Lakini pia taarifa zetu ziendane na ukweli hasa katika watu wanaopona. Nina taarifa kwamba mpaka leo tulikuwa na wagonjwa 284, lakini naambiwa karibu 100 ya wagonjwa walishapona. Hizi takwimu za wagonjwa wanaopona nazo zitangazwe ili kuwaondolea hofu wananchi" - Rais John Magufuli.
Narudia, siwezi kuwa na muda mchafu wa kumsikiliza Magufuli. Kama unaumia kwa hilo, that's your problem and not mine!!
Aisee kweli hii ni awamu ya tanoUsikalili kijana,rais ni higher authority anaweza endesha shughuri zake akiwa popote pale,rais ndio Ikulu ,Ikulu sio jengo.
Sasa na wewe utafute Muarobaini taabu yote hiyo ya nini wakati ukipata kale kaugonjwa, unajifukisha mvuke tu, mambo swaaaaafi!!Aiseee sina la kusema ngoja nitafute muarobaini wangu kabla haijaisha
Hapa kweli kiongozi tunaye duh!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo nimeamua kuweka picha yangu halisi.Nimekumbuka uzi wa wanawake wa jf wekeni picha zenu halisi kwenye avatar.
Mkuu Marekani ni kubwa, Ina majimbo 52 na kila Jimbo linautawala wake, sema ni wamarekani wa Jimbo gani wameandamana?
Nini maoni yako??.. Sijipendi?By G Malisa:
"Hakuna virusi wanaokufa kwa fumigation. Kilichofanyika Dar es Salaam kupuliza dawa yenye kemikali ni upuuzi. Wanaokufa kwenye fumigation ni mende na si virusi ikiwemo virusi vya Corona. Suala la kupuliza dawa ni upumbavu mtupu. Hakuna kirusi cha Corona kinachoweza kufa kwa Chlorine. Naomba IGP na Vyombo ulinzi mkachunguze walikuwa na lengo gani na nani alitoa hizo dawa” Rais JPM, 22/04/2020, Chato, Geita.
Nini maoni yako??
Taarifa kupishana huo ni utata tayari...Ila nyie watu mna nini nyie? Kila kukicha nyuzi zenu zimekaa kwa mrengo wa kutakia vifo na mabaya nchi yetu. Mnatamani sana kusikia raia wa Tz milion wameathirika au kufa. Yawakute nyie na familia zenu
Ni jambo jema sana!
Huu ndio mkutano siyo ule wa Mbowe uliotaka kutuharibia maombi ya kitaifa!
bro kwa status yako ilivo na zile thread zako ulizoandika miaka ya nyuma, kwakwel sikutegemea comment kama hiiIla nyie watu mna nini nyie? Kila kukicha nyuzi zenu zimekaa kwa mrengo wa kutakia vifo na mabaya nchi yetu. Mnatamani sana kusikia raia wa Tz milion wameathirika au kufa. Yawakute nyie na familia zenu