Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona

Kwa hiyo hii korona imekuwa overrated, kama rais anavyoshauri ni bora kuwa makini na hawa mabeberu wanaodai maiti za waafrika zitajaa barabarani huku wakifa zaidi ya milioni 10, wanajua wanachokipanga gizani...
 
Duu jamaa kila akiongea anaharibu bora angebaki hukooo mashenzini!!

When your toddler was learning to walk, you’d encourage her to get back up after she fell down,Parents should practice that approach as their children get older.
 
Nyie wote washirikina tu. Kama siyo washirkina mtaaminije kuwa corona anakufa kwa kufukizwa na maji ya moto na mwarobaini? Eti mask tunazoletewa zina corona! Eti chlorine haiui virus!!!! Siyo mawazo ya kishirikina haya?
Endelea kuota ndote nyevu tu.
 
Naona Rostam kapigwa kata funua. Hahahahah hakuna kujipatia umaarufu kuliko mwenye nyumba.

Ajiandae na kesi ya uhujumu uchumi kwa kutaka kuliangamiza taifa.

Sent using iphone pro max
 
Are you serious? Unawezaje kuamini upuuzi wa wazi hivi? Ndio maana matapeli wanafanikiwa mtaani!
Chemsheni maji mpaka 100CC alafu jifukuzie ..virus anakufa apo apo. Kuna mjinga eti huo mvuke ukiwa wa moto sana inaweza kuchoma au kuaffect njia na mfumo wa hewa..Hii si kweli maana mfumo wa hewa ni ngumu nani plastiki
 
Tunaweza kuweka alcohols/ gongo tukaendelea kupuliza usiwe popoma.

Mashine zitaendelea na kazi ila tutabadilisha tuu ingredient
 
Kakorona yajuta kutua jijini Dar. Tazama kanavyohenyeshwa!
Daktari wa Jiji atekeleza agizo la Bashite!



Na huko Dodoma Bungeni ndio usiseme. Kakorona katakoma safari hii!
Tazama wabunge wanavyoogeshwa!

 
Rais Magufuli hakupepesa macho
Watanzania tu mabingwa wa kupongeza hata kisichopongezeka
Ashakum si matusi kwanfano ikitokea mkuu akajamba utasikia:...Tunampongeza sana laisi wetu kwamjambo wenye halufu ya malashi ya kalafuu...
 
Namwonea huruma naibu waziri wa afya jamani dactari amejieleza weee kuhusu barakoa za vitambaa hazizuhii maambukizi duuu Bashite anaongoza mpaka maprofesa kwa kweli
 
boss kama kuna maraisi/mawaziri wakuu wanapata ugonjwa wakiwa ikulu kuna ubaya gani yeye kuzungumzia akiwa home lockdown

..basi awe MKWELI.

..kama covid19 ni "kaugonjwa kadogo" kwanini yeye kajifungia kijijini?

..na kama ikulu siyo salama ni wapi nchi hii pako salama?

..wakati mwingine viongozi siyo wakweli na hawawathamini wananchi waliowachagua.
 

Kama kuna Watu ambao tokea Siku nyingi wameshamalizwa na Wazungu na sasa kilichobaki ni Kufa tu basi ni Sisi Waafrika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…