Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaongelea TV ganiYaani rais anaongea tbc wako bize na vipindi vyao...
Dah!
Enzi za Benyamini W. Mkapa kwenye ule utaratibu wake wa kuhutubia taifa kila mwezi, nakumbuka mwezi mmoja alipigaga show live akiwa kwenye matibabu Uswisi na ilikua POA tuKuna athari kubwa sana kwa mtu akijijengea fikira ya kupinga kila kitu,hebu fikiria kidogo makao makuu ya umoja wa mataifa yako Marekani,unataka kuniambia katibu mkuu wa umoja wa mataifa akitaka kutoa hotuba hadi aende Marekani,hawezi kuwa Tanzania na bado akahutubia mataifa yote?
Chato ni Tanzania,tupunguzeni manunguniko yasiyo tija
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama mtu anaongelea kutokea maporini unataka tufanyeje?Yaani rais anaongea tbc wako bize na vipindi vyao...
Dah!
Tbc ndio hii aisee, alafu chereko chereko inaendaga laivu bila tatizo.Mimi naona kaswida inaendelea hapa TBC
Mafundi mitambo wa TBC wote wapo karantini waliopo hawana uzoefu hivyo ameongea dakika mbili matangazo yamekata.!Yani toka Saa 9:45 hadi Saa 10:30 Uzi uko page ya 7,hakuna update yoyote, wala haijulikani Rais anaongea nini.... Kweli Bongo Nyoso
Kumbe unafanya kazi tbc..Sasa kama mtu anaongelea kutokea maporini unataka tufanyeje?
TBC inawezekana hawajui hata kama Rais anaongea leoWenye TBC, jamaa amesemaje?
Anaongelea TV gani
"corona ipo tuchukue tahadhari"
Uwage na akili bac chadema ni chama kama ccm na hiyo ni serekali ambayo inaongoza chadema na ccmSasa kwanini polisi wamezuia press conference ya chadema lakini hawazuii hii
Acha ulongo wakoMbona wakati wa kikwete kulikuwa na ikulu msoga?