Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona

Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona

Kuna athari kubwa sana kwa mtu akijijengea fikira ya kupinga kila kitu,hebu fikiria kidogo makao makuu ya umoja wa mataifa yako Marekani,unataka kuniambia katibu mkuu wa umoja wa mataifa akitaka kutoa hotuba hadi aende Marekani,hawezi kuwa Tanzania na bado akahutubia mataifa yote?

Chato ni Tanzania,tupunguzeni manunguniko yasiyo tija

Sent using Jamii Forums mobile app
Enzi za Benyamini W. Mkapa kwenye ule utaratibu wake wa kuhutubia taifa kila mwezi, nakumbuka mwezi mmoja alipigaga show live akiwa kwenye matibabu Uswisi na ilikua POA tu
 
Wenye TBC, jamaa amesemaje?
TBC inawezekana hawajui hata kama Rais anaongea leo
tbc.png
 
Yaani hapa wamefaulu kutufanya tuingalie TBC
Graph ya viewer's imepanda
 
Back
Top Bottom