Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona

Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona

Jamaa muoga sana.......Kuzungumza na wananchi kuhusu Corona unatumia vyombo vya ulinzi? Amenirudisha kwenye korosho badala ya kutumia principles za uchumi kufanya deals na wafanyabiashara yeye anaita jeshi eti washughulikie uchumi....CHEAP....
Leo suala la afya vyombo vya ulinzi vinalinda nini?
NCHI IMEKOSA UONGOZI
Mkuu kwake corona ni sawa na Chadema kwa
 
Msigwa na team yake walivyoona kelele mkimtaka kumuona rais ikabidi waje na huu uzushi, kuwa mzee atakuwa live so mmeonjeshwa wamekata makusudi
 
Tokea saa tisa na nusu hadi saa hizi hatujajua anaongea nini...channeli zetu zipo zipo tu...tusipoziangalia wanalalamika
 
Wameshtukia kwamba wanaongea vitu vya kiusalama zaidi, itakuwa ni mbinu za kivita dhidi ya corona, inabidi iwe siri. Wasije wakavujisha siri za kivita.
 
Back
Top Bottom