Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,558
- 12,335
Basi baba samahani kwa usumbufu baki huko huko Chato [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila mwezi tunalipa Bilioni 700 kwa madeni ambayo karibu Bilioni 200 inaenda World Bank. Sasa kwasababu wao wameguswa na ugonjwa huu hasa World Bank watusamehe madeni hata kwa percentage ili hela zitumike kupambana na Corona
Magufuli hili ndio limekufa uongee. Uhai wetu wa Tanzania walasio shida kwako, umekopa peke yako na familia yako "mtoto wadada"
Lipa deni na familia yako.
Wangari Maathai soma hiyo kabla ya kusikiliza audio yake.Tujaribu kutumia njia nyingine za asili kama kujifukiza. Kujifukiza ni scientific kwa kuwa mvuke wa maji, maji yanakuwa vapour yakiwa 100 degree centigrade ambazo zinatosha kumyeyusha hata #CoronaVirus
we unaongelea kanisani wenzako tunamiaka kumi hatujakanyaga kanisa, hongera kwa kujilock, simamia dhamira yako thabiti, usikanyage sokoni, usisafiri, usiende dukani kwa mangi kupata mahitaji, tusikuone umetia mguu baa, hivyo vimahemezi vyako vya laki mbili havimalizi wiki utakuwa umevimaliza na muda si mrefu tutakukuta njaa ishakuua wenzako huku tunachapa kazi tu kama kawaidaWapumbavu wakubwa zaidi ni wale wasiojua maana ya lockdown na kushindwa kujua kuwa itatokea automatically. Wenye akili wameshafunga biashara zao na hadi kuna dayosisi za makanisa wamesimamisha shughuli zao.
Wapi niambie nije kesho!Niko dar nafanya biashara karibu ujionee
Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
Spare my ribs jamani...! Dah ..ila wasukuma kwa dawa za mitishanba naaminia aiseeWangari Maathai soma hiyo kabla ya kusikiliza audio yake.
Ww mjinga sana ,hujui kila mkoa huwa una ikulu ndogo?(Ikulu Chato). Only in Tanzania.
Aisee , binadamu wengine awajitambui , kila upuuzi nikuanzisha thread cha ajabu awapewi tiki ya veryfied.
Ni kwamba watz tumepatikana!Yaani nilijiuliza huyu ni Rais ama ?
Analipwa kwa thread huyo comrade John.Aisee , binadamu wengine awajitambui , kila upuuzi nikuanzisha thread cha ajabu awapewi tiki ya veryfied.
😀😀