Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona

Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona

Basi baba samahani kwa usumbufu baki huko huko Chato [emoji23][emoji23][emoji23]
IMG_20200422_163450_601.JPG


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mwezi tunalipa Bilioni 700 kwa madeni ambayo karibu Bilioni 200 inaenda World Bank. Sasa kwasababu wao wameguswa na ugonjwa huu hasa World Bank watusamehe madeni hata kwa percentage ili hela zitumike kupambana na Corona

Magufuli hili ndio limekufa uongee. Uhai wetu wa Tanzania walasio shida kwako, umekopa peke yako na familia yako "mtoto wadada"
Lipa deni na familia yako.

Akili ndogo ndio hizi sasa
 
Wapumbavu wakubwa zaidi ni wale wasiojua maana ya lockdown na kushindwa kujua kuwa itatokea automatically. Wenye akili wameshafunga biashara zao na hadi kuna dayosisi za makanisa wamesimamisha shughuli zao.
we unaongelea kanisani wenzako tunamiaka kumi hatujakanyaga kanisa, hongera kwa kujilock, simamia dhamira yako thabiti, usikanyage sokoni, usisafiri, usiende dukani kwa mangi kupata mahitaji, tusikuone umetia mguu baa, hivyo vimahemezi vyako vya laki mbili havimalizi wiki utakuwa umevimaliza na muda si mrefu tutakukuta njaa ishakuua wenzako huku tunachapa kazi tu kama kawaida
 
Liliendeshwa zoezi la kufanya furmigation katika jiji la Dar na baadhi ya maeneo nchini, wataalam wa afya natumai walijua kinachofanyika ni kiini macho ila walikaa kimya.

Viongozi wa kisiasa nao wakaaa kimya, viongozi wa uponzani kimya na hata viongozi wa kitaifa nao hawakutoa neno.

Sasa yamkini baadhi ya cases zimetokana na watu kuweka imani kwenye farmigation na kuacha kuchukua taadhari nyingine ya yamkini zipo familia zinaendelea zinaendelea kujilinda kwa Farmington. Nani alaumiwe?

Zipo hasara zilizotokana na zoezi hilo na natumai hizi Ni fedha za umma zilizotumika vibaya, waliotumia vibaya wanajulikana wala hawakuna haja kuwaundia tume. Baadhi walizungumza adharani, je Hawa watu wasiofanya utafiti kabla ya kulisha jamii sumu wanasubiri Nini ofisini?

Kauli imetoka na ilipotoka wamesikia, natamani kila mmoja ajitafakari je anawatendea Watanzania wanachostahiki?

Lakini kwanini jukumu tusilikabidhi kwenye mamlaka ya Afya na kuliondoa kwenye kamati za ulinzi na usalama za mikoa? Vyombo vibaki kusaidia wataalamu wa afya kutimiza malengo tu?
 
Lengo kubwa ni kupromote watengenezaji wa hizo barakoa wa ndani ukifikiria zaidi, maana kwa kauli hiyo wengi watahamia kwa hizo
 
Bora sasa na bei ya mask itapungua maana wafanyabiashara wanacheza na demand 😀
 
Watanzania wazalendo mpaka muda huu bado tunasubiri hotuba ya Rais leo siku ya jumatano 22, 2020 namna ya kukabiliana na Corona.
 
kwa mujibu wa Rais Magufuli, Tanzania inalipa shilingi bilioni 700 kama rejesho kila mwezi kwa mashirika ya fedha ya dunia.

ameviomba vyombo hivyo, hasa world bank kuzipatia pesa nchi maskini, Tanzania ikiwemo, bila masharti ili ziweze kupambana na janga la corona na pia visamehe madeni.

karibuni kwa mjadala.
 
Back
Top Bottom