RAYAN THE DON
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 679
- 1,218
Tuko njia panda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli mkuu watu wasiwe na hofu si unaona Uganda eti nao waliweka lockdown sasa angalia madhara makubwa waliyo pata"Hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko corona"..., au hofu juu ya tishio jingine lolote.
Manufaa ya 'Lockdown' popote Tanzania katika hatua hii iliyofikiwa na ugonjwa haipo tena. Kwa hiyo kinachowezekana, na kinachppaswa kuwekewa nguvu zaidi ni hizo njia za kinga, kuvaa barakoa, kuepuka mikusanyiko ya watu, kunawa, kutumia sanitizer, n.k., haya ndiyo yanayohitaji kuwekewa nguvu zaidi ili kuzuia kuendelea kusambaa kwa ugonjwa ndani ya jamii kwa kasi kubwa.
Haya yakifanyika kwa ufanisi na bila ya vitisho, Tanzania tutapata ahueni hata kama hatutaweza kuukomesha ugonjwa moja kwa moja.
Baada ya kuunga mkono aliyosema rais juu ya ugonjwa huo, napenda pia kuwakumbusha waTanzania juu ya mapana ya "Hofu kuwa ugonjwa mbaya" juu ya jambo lolote lile.
Inatubidi waTanzania tuachane na hofu wakati tunapofanya maamuzi mhimu yanayotuhusi sisi na maslahi ya nchi yetu nzima.
Tunapopata fursa ya kuwachagua viongozi wetu watakaotuongoza, tusisukumwe na hofu na kulazimika kupoteza haki yetu ya msingi ya kuwachagua viongozi bila ya shinikizo lolote na wala vitisho vyovyote.
Na akitokea kiongozi anayetaka kupora haki yetu hiyo kwa kutumia mabavu ya vyombo tulivyomkabidhi ili nchi yetu iwe salama, lakini yeye anavigeuza viwe ndio kinga yake na kuvitumia kutunyanyasa, inabidi pia tuachane na hofu na kukabiliana naye na kumkataa.
Tukifikia hatua hiyo, kwa hakika tutakuwa tumeyasikia na kuyaheshimu maneno ya busara aliyotuambia kiongozi wetu juu ya ugonjwa wa coronavirus.
Nitoe wito kwa waTanzania wenzangu. Uchaguzi mkuu utakapokuja, ni lazima tuondoe hofu (ugonjwa mbaya).
Tujitokeze kwa wingi kwenda kupiga kura kwa mtu yeyote tunayeona kuwa anafaa kutuongoza bila ya hofu, na hata bila ya kuogopa vitisho kama vitakuwepo.
Tukishafanya hivyo, ni wajibu wetu pia kuhakikisha kuwa hatutasita na kuwa nahofu namtu yeyote atakayetaka kufanya hila na kuzifanya kura zetu zisihesabike na kutulazimisha tukubali viongozi ambao hatukuwapa kura hizo.
Hii ndio kuondoa hofu inayoweza kutufanya kuwa wagonjwa.
MTanzania, hustahili kuwa na hofu. Rais wetu amekwishaeleza hiyo ni hatari zaidi kuliko gonjwa baya hata kuzidi coronavirus.
Uzi ukiunganishwa unajikuta siti ya mwishoooNimewahi Siti tu, ntachangia baadae
Nitajaribu kukuelewesha kwa mara ya mwisho.Kaka hivi unajua idadi ya watanzania wote wenye dalili za Malaria, TB, kichocho, fungus, cancer ya titi, shingo ya Uzazi, tezi dume, HIV. Je, unajuwa idadi ya vitanda vya kujifungulia vinavyohitajika na vilivyopo Sasa na wakunga wanaohitajika nchini?
Why CORONA? And not malaria?
He is a superb striker, creating a chance to score. RA has never been a foolish all his life
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hata mchungaji Msigwa alipuliziwa!
Mchungaji Msigwa ni mtu mdogo sana sio level ya PMHata mchungaji Msigwa alipuliziwa!
Matokeo ya kuambukizwa ni kuugua au kutokuugua hata baada ya kuambukizwa. Na matokeo ya kuugua ni kupona kabisa, kufa au kupona na kubaki na disability. Hivyo hakuna mgonjwa ambaye atabaki ndani au hospital milele.Mkuu na hiyo ndo sababu kuu ya kuitwa pandemic.Sasa huyo matanga mkuu kakariri tu chapa kazi,unachapaje kazi wakati upo hospital au unaugulia ndani?
Hujaelewa...Yaani kiongozi mkuu wa Nchi Kuja kwa raia kutoa ushuhuda was Jambo ambalo liko chini ya uwezo wake nikuonesha kiasi gani hana mawasiliano mazuri na wataalam wake. Chukulia mfano hizo kemikali zingekuwa na madharaa kwa binadam nani alipswa kuwajibika??, Ilihali haya yanafanyika chini ya kijana wake mpendwa. Tuache kusifu mambo yakipuuzi
Hao walioko mortuary labda wametoka kwenye familia yenu, maana mtaani kwetu wote tupo na ndugu zangu wote wapo na wafanyakazi wenzangu wote wapo Sasa hayo mafuriko huko mortuary wametoka mtaa gani?Nafanya kazi mochwari
Jr[emoji769]
Hujaelewa...Waliofanya fumigation siyo wajinga. Utafiti uliofanywa na Marekani, unaonesha mabwawa ya kuogelea yaliyowekwa chlorine, virus au wanakufa au wanakuwa inactive.
Na wanaoogelea kwenye mabwawa wamehakimishiwa kuwa kama maji ya kwenye bwawa yamewekwa chlorine, hata kama mmojawapo wa wanaoogelea akawa ana virus vya corona, hawezi kuwaambukiza wengine kwa kupitia maji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujaelewa...Vipi Spain, Italy, France, USA wanafanya fumigation?
Hujaelewa...
Hujaelewa...Sijaona Marekani wakifanya fumigation mitaani
Raisi kaongelea FUMIGATION MASHINES (huvaliwa mgongoni) na hutoa aidha maji (liquid) au vapour.Sawa bhana! Rostam Aziz akamatwe sio?
Dah! Na tunasisitizwa tuchangie