Najua hii hotuba imekuuma sana,!
Taratibu utaelewa tu, hata darasanai kuna wanafunzi huwa inachukua muda kuelewa.
Viva JPM
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo taarifa ya wagonjwa iliyotolewa ni nzuri mno kuwa ya kweli?Tunajua usanii alioufanya Prof. Mabula Mchembe, ametoa wagonjwa wote karantini na hospitalini. Wale waliobaki ambao Magufuli kawataja leo ni wagonjwa walio katika hali mbaya sana. Hao ndiyo Mchembe katumwa wizarani kuwaruhusu wabaki hosipitalini. Yani wanaosubiri kufa!
Kama nchi mkishakuwa na kiongozi ambaye hajali kabisa binadamu wake lazima mjiulize sana!
Majirani wameshachukua hela ya mzungu...Huku tukiwa tumefungiwa mipaka na majirani zetu, sisi tunajiandaa kufungua vyuo, na shughuli za michezo ziendelee.
Sijui muongo ni majirani zetu, au tumeamua kujidanganya wenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndio muongo hujui unachandikaRais ni muongo, hakuna aliyesema awafungie wakulima, kwanza lockdown ya Dar ndiyo ingewaepusha wakulima na maambukizi. Halafu watu hata hawaelewi. Dah!
Una uhakika na huo upuuzi unahangaika nao au Ni mihemko ya kichama inakusumbua!!Tunajua usanii alioufanya Prof. Mabula Mchembe, ametoa wagonjwa wote karantini na hospitalini. Wale waliobaki ambao Magufuli kawataja leo ni wagonjwa walio katika hali mbaya sana. Hao ndiyo Mchembe katumwa wizarani kuwaruhusu wabaki hosipitalini. Yani wanaosubiri kufa!
Kama nchi mkishakuwa na kiongozi ambaye hajali kabisa binadamu wake lazima mjiulize sana!
Hakuna atakaemsikiliza,kila mtu anamjadili magufuli
Mbowe hana watu wazuri wa PR,unawezaje kupanga kutoa hotuba siku moja na Rais?atakuzima tu kwa hoja,mara ya tatu hii anafanya kosa hilo
Hata mm nilishajiuliza hivi usiku tu ndo korona inaambukiza kwasababu muingiliano wa watu ni mkubwa sana mchana Sasa hiyo usiku unawafungiaje watu angali asilimia kubwa watu wapo majumbani kwao. Waafrika tunakopy na kupest hata atuedit. Piga Kaz mzee baba watakuelewa badae tena kwa aibu kubwa snKwa kweli, katika Vita dhidi ya COVID-19, Niko na JPM. Kuna Mambo Kama nchi hatupaswi kuyapokea tuu bila kuangalia uhalisia wa kimazingira.
Halaf wadau, naomba kuuliza, Ni Nani aliyewaambia Wakenya na waganda kuwa Corona anaambukizwa usiku tuu mpka waweke lockdown ya usiku tuu? Na ikumbukwe usiku n nyakati ambazo mikusanyiko ya watu huwa midogo.
Au ndo kusema viongozi wao ni myopic mpaka wanashindwa kung'amua vitu common?
Unaandika kama baamedi!!HOTUBA NZURI ZA MAGUFULI? KWELI WEWE UPO MBALI NA UKWELI...HUYO LAUGHING STOCK ANAYESEMWA DUNIANI KWA UJINGA? MBONA HAJAZUNGUMZIA ILE DAWA YAKE FEKI ALIYOICHUKUA HUKO MALAGASY? KWANZA DUNIANI WANASIKIA KISWAHILI??? HAKUNA HATA MMOJA ANAYEVUTIWA NA HUYO MAGUFULI WAKO.
Mbona MZee baba kajificha chato? Arudi DAR mchape naye kazi,confirm naye lini anarudi tunaomba jibu tena Lini anarudi DAR?Basi wewe endelea kuomboleza hivyo vifo na huyo kigogo tuache sisi tuchape kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulisema weekend hii utaleta taarifa ya tanzia kwakuwa wabunge 6 wa ccm wamelazwa wako hoi, vipi iko wapi hiyo tanzia..?Tunajua usanii alioufanya Prof. Mabula Mchembe, ametoa wagonjwa wote karantini na hospitalini. Wale waliobaki ambao Magufuli kawataja leo ni wagonjwa walio katika hali mbaya sana. Hao ndiyo Mchembe katumwa wizarani kuwaruhusu wabaki hosipitalini. Yani wanaosubiri kufa!
Kama nchi mkishakuwa na kiongozi ambaye hajali kabisa binadamu wake lazima mjiulize sana!
Wapi nilisema nataka wengine wasimuamini kisa mimi simuamini?Mkuu mm sina tatizo na msimamo wako wa kuchagua kutomuamini "because as u said is non of my business and I respect that" tatizo lilikuwa pale tu unataka na wengine tusimuamini kwa sababu tu ww humuamini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh..!Tunajua usanii alioufanya Prof. Mabula Mchembe, ametoa wagonjwa wote karantini na hospitalini. Wale waliobaki ambao Magufuli kawataja leo ni wagonjwa walio katika hali mbaya sana. Hao ndiyo Mchembe katumwa wizarani kuwaruhusu wabaki hosipitalini. Yani wanaosubiri kufa!
Kama nchi mkishakuwa na kiongozi ambaye hajali kabisa binadamu wake lazima mjiulize sana!
Yani hicho tu ndio mlichobaki nacho!Mbona MZee baba kajificha chato? Arudi DAR mchape naye kazi,confirm naye lini anarudi tunaomba jibu tena Lini anarudi DAR?
Huyo aliyepigwa hiyo sizani km ataweza kusimama. Lazma watafutane tena walete tena kikao chao cha kujitenga.Huruhusiwi kwenda sokoni, na saa nyingine unaruhusiwa kutoka kidogo tu, halafu usiku usitoke kana kwamba Corona inatembea usiku ....
Hapo kwenye rangi kuna mtu kapigwa hahaaa