Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020)

Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020)

Tunajua usanii alioufanya Prof. Mabula Mchembe, ametoa wagonjwa wote karantini na hospitalini. Wale waliobaki ambao Magufuli kawataja leo ni wagonjwa walio katika hali mbaya sana. Hao ndiyo Mchembe katumwa wizarani kuwaruhusu wabaki hosipitalini. Yani wanaosubiri kufa!

Kama nchi mkishakuwa na kiongozi ambaye hajali kabisa binadamu wake lazima mjiulize sana!
Kwa hiyo taarifa ya wagonjwa iliyotolewa ni nzuri mno kuwa ya kweli?
 
Tunajua usanii alioufanya Prof. Mabula Mchembe, ametoa wagonjwa wote karantini na hospitalini. Wale waliobaki ambao Magufuli kawataja leo ni wagonjwa walio katika hali mbaya sana. Hao ndiyo Mchembe katumwa wizarani kuwaruhusu wabaki hosipitalini. Yani wanaosubiri kufa!

Kama nchi mkishakuwa na kiongozi ambaye hajali kabisa binadamu wake lazima mjiulize sana!
Una uhakika na huo upuuzi unahangaika nao au Ni mihemko ya kichama inakusumbua!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huruhusiwi kwenda sokoni, na saa nyingine unaruhusiwa kutoka kidogo tu, halafu usiku usitoke kana kwamba Corona inatembea usiku ....

Hapo kwenye rangi kuna mtu kapigwa hahaaa
 
Hakuna atakaemsikiliza,kila mtu anamjadili magufuli
Mbowe hana watu wazuri wa PR,unawezaje kupanga kutoa hotuba siku moja na Rais?atakuzima tu kwa hoja,mara ya tatu hii anafanya kosa hilo

Ingekuwa ni rais mwenye hoja hapo sawa, sio huyo mpika data.
 
Kwa kweli, katika Vita dhidi ya COVID-19, Niko na JPM. Kuna Mambo Kama nchi hatupaswi kuyapokea tuu bila kuangalia uhalisia wa kimazingira.
Halaf wadau, naomba kuuliza, Ni Nani aliyewaambia Wakenya na waganda kuwa Corona anaambukizwa usiku tuu mpka waweke lockdown ya usiku tuu? Na ikumbukwe usiku n nyakati ambazo mikusanyiko ya watu huwa midogo.
Au ndo kusema viongozi wao ni myopic mpaka wanashindwa kung'amua vitu common?
Hata mm nilishajiuliza hivi usiku tu ndo korona inaambukiza kwasababu muingiliano wa watu ni mkubwa sana mchana Sasa hiyo usiku unawafungiaje watu angali asilimia kubwa watu wapo majumbani kwao. Waafrika tunakopy na kupest hata atuedit. Piga Kaz mzee baba watakuelewa badae tena kwa aibu kubwa sn
 
HOTUBA NZURI ZA MAGUFULI? KWELI WEWE UPO MBALI NA UKWELI...HUYO LAUGHING STOCK ANAYESEMWA DUNIANI KWA UJINGA? MBONA HAJAZUNGUMZIA ILE DAWA YAKE FEKI ALIYOICHUKUA HUKO MALAGASY? KWANZA DUNIANI WANASIKIA KISWAHILI??? HAKUNA HATA MMOJA ANAYEVUTIWA NA HUYO MAGUFULI WAKO.
Unaandika kama baamedi!!
 
Tunajua usanii alioufanya Prof. Mabula Mchembe, ametoa wagonjwa wote karantini na hospitalini. Wale waliobaki ambao Magufuli kawataja leo ni wagonjwa walio katika hali mbaya sana. Hao ndiyo Mchembe katumwa wizarani kuwaruhusu wabaki hosipitalini. Yani wanaosubiri kufa!

Kama nchi mkishakuwa na kiongozi ambaye hajali kabisa binadamu wake lazima mjiulize sana!
Ulisema weekend hii utaleta taarifa ya tanzia kwakuwa wabunge 6 wa ccm wamelazwa wako hoi, vipi iko wapi hiyo tanzia..?

Ok tufanye hawajafa leta hapa hata majina yao tu basi na hospit waliko lazwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mm sina tatizo na msimamo wako wa kuchagua kutomuamini "because as u said is non of my business and I respect that" tatizo lilikuwa pale tu unataka na wengine tusimuamini kwa sababu tu ww humuamini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi nilisema nataka wengine wasimuamini kisa mimi simuamini?

Mkuu,kama wewe unamuamini tambua ya kwamba wengine hawamuamini hata kama atatenda linalokupendeza wewe, hata kwenye maisha yako ya kawaida kuna watu wengine wanakuamini na wengine hawatokuami kadri ya utakavyojiweka kwenye jamii yako.

Mimi simuamini huo ndo msimamo wangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunajua usanii alioufanya Prof. Mabula Mchembe, ametoa wagonjwa wote karantini na hospitalini. Wale waliobaki ambao Magufuli kawataja leo ni wagonjwa walio katika hali mbaya sana. Hao ndiyo Mchembe katumwa wizarani kuwaruhusu wabaki hosipitalini. Yani wanaosubiri kufa!

Kama nchi mkishakuwa na kiongozi ambaye hajali kabisa binadamu wake lazima mjiulize sana!
Duh..!
Kama ni hivyo basi hali ni ya kutisha.

Ila na wewe mbona hukuleta hii taarifa kabla ya hotuba ya Magu!?
 
Huruhusiwi kwenda sokoni, na saa nyingine unaruhusiwa kutoka kidogo tu, halafu usiku usitoke kana kwamba Corona inatembea usiku ....

Hapo kwenye rangi kuna mtu kapigwa hahaaa
Huyo aliyepigwa hiyo sizani km ataweza kusimama. Lazma watafutane tena walete tena kikao chao cha kujitenga.
 
Back
Top Bottom