Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020)

Mbona mnatuchanganya wakuu. Magufuli atahutubia taifa au ndiyo kashahutubia kanisani?
 
Magufuli yuko Geita ambayo iko chini ya Askofu wa Katoliki Niwermugizi Askofu huyo alipiga marufuki waumini wasisali kwa hofu ya corona akawafingia makanisa kwa imani yake haba KKKT
Geita hawakufunga sababu hawaabudu corona wanaabudu Mungu

Magufuli uzalendo umemshinda kaona aende zake kusali KKKT Geita

Amsifu mchungaji was usharika na Askofu Mshahara wa KKkT dayosisi ya Geita kwa kutofunga makanisa watu ili watu waendelee kuabudu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…