Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020)

Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020)

Mhe. Rais Magufuli anatarajiwa kutuma salaam kwa Taifa leo Mei 17, 2020.

Hotuba yake inaaminika itajaa mambo mazito.

Kaa standby kwenye media zote na mitandao ya kijamii muda si mrefu ujao.

Inatarajiwa kuanzia mida ya saa sita na nusu mchana (12:30PM) ndipo atakuwa mubashara.

JF will cover it

======

‪RAIS AMETOA SALAAM BAADA YA KUSHIRIKI KATIKA IBADA YA KANISA LA KKKT USHARIKA WA CHATO‬

Raisi Magufuli akiwa katika kanisa la KKKT Chato amepata nafasi ya kuzungumza mbapo ameongea mambo mbalimbali,

Katika hotuba hiyo Raisi ameanza kwa kumshukuru Mungu na viongozi wa dini wote nchini. Raisi magufuli amesema “Waimbaji wameimba hapa kwamba bila mungu huwezi kuongoza, bila kumtanguliza mungu huwezi ukafanya chochote. Kwahiyo napenda niwashukuru Watanzania wote".
Mbona mnatuchanganya wakuu. Magufuli atahutubia taifa au ndiyo kashahutubia kanisani?
 
Magufuli yuko Geita ambayo iko chini ya Askofu wa Katoliki Niwermugizi Askofu huyo alipiga marufuki waumini wasisali kwa hofu ya corona akawafingia makanisa kwa imani yake haba KKKT
Geita hawakufunga sababu hawaabudu corona wanaabudu Mungu

Magufuli uzalendo umemshinda kaona aende zake kusali KKKT Geita

Amsifu mchungaji was usharika na Askofu Mshahara wa KKkT dayosisi ya Geita kwa kutofunga makanisa watu ili watu waendelee kuabudu
 
Back
Top Bottom