OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Anasema mbona watu wa ukimwi hawatengwi kama corona. haaaa haaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona mnatuchanganya wakuu. Magufuli atahutubia taifa au ndiyo kashahutubia kanisani?Mhe. Rais Magufuli anatarajiwa kutuma salaam kwa Taifa leo Mei 17, 2020.
Hotuba yake inaaminika itajaa mambo mazito.
Kaa standby kwenye media zote na mitandao ya kijamii muda si mrefu ujao.
Inatarajiwa kuanzia mida ya saa sita na nusu mchana (12:30PM) ndipo atakuwa mubashara.
JF will cover it
======
RAIS AMETOA SALAAM BAADA YA KUSHIRIKI KATIKA IBADA YA KANISA LA KKKT USHARIKA WA CHATO
Raisi Magufuli akiwa katika kanisa la KKKT Chato amepata nafasi ya kuzungumza mbapo ameongea mambo mbalimbali,
Katika hotuba hiyo Raisi ameanza kwa kumshukuru Mungu na viongozi wa dini wote nchini. Raisi magufuli amesema “Waimbaji wameimba hapa kwamba bila mungu huwezi kuongoza, bila kumtanguliza mungu huwezi ukafanya chochote. Kwahiyo napenda niwashukuru Watanzania wote".
Safi mkuu..wengine hatuna acces ya TVMagufuli anasema mtu ameshakufa anapimwa korona ya nini. hii ni mbinu ya hovyo na ajabu sana. Anashangaa kwa nini mtu asizikwe na ndugu.
yupo KKKT ChatoMbona mnatuchanganya wakuu. Magufuli atahutubia taifa au ndiyo kashahutubia kanisani?
hakuna budget ya ivo tunataka ripot
Acha kujifanya nabii rais kashasema anapanga kufungua vyuo na michezo!
Wewe umeshamsikia ndio unajifanya nabii
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbowe ni raisi wa mpito Huyu kajifichaNaona na kule Mbowe anahutubia leo. Asije akazuiwa kwa kuelezwa kuwa ataleta msongamano wa habari kwani Rais naye anahutubia. Polisi hawakosi vituko
tenaLifurahie sasa hivi ila..
anatengeneza bomu litalipuka, angalia Brazil balaa linalowakuta ni hatari sanaHuyu mzee hajafahamishwa vizuri kuhusu huu ugonjwa,mbona analeta mzaha hivi
Si unafurahia kusaini boom?nn
tena