barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Endelea na maisha ila chukua tahadhari zote.Mbona kama hofu inatoka kabisa kuhusu. Korona ngoja tuendelee kumsikiliza mheJPM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea na maisha ila chukua tahadhari zote.Mbona kama hofu inatoka kabisa kuhusu. Korona ngoja tuendelee kumsikiliza mheJPM
Kitaa chenu wamepukutika wangapiyeye mwache tu,mbona amejificha chato arudi dar tupige kazi na afanye ziara zake kama kawaida hapo ndio nitaamini maneno yake,kwaniini anatuambia sie tupige kazi tupukitike wakati yeye amejikarantini? Nadhani mzee ana target ya kuwaperish wagonjwa wenye magonjwa nyemelezi wote,watu wenye presha,sukari,overweight(obese),ngoma ndio watakaoumia.
Wewe kula kulala uliyejifungia ndani kufuatilia habari kupitia mange na kigogo huwezi kuelewa haya mambo ni makubwa sana kwakoMtalii gani yupo tiyari ku risk maisha yake in Dark country, aache kudanganya watu, labda afungue vyuo maana hilo lipo ndani ya uwezo wake lakini siyo kuleta watalii kipindi hiki
🤣🤣🤣Nichukue fursa hii kumpongeza waziri wa Utalii Dr Kigwangalla kwa kuhakikisha watalii waliofanya booking wanalinda ahadi zao.
Nipo hapa Arusha kama mtalii wa ndani na nimefurahi sana kusikia kuwa watalii wa nje wataanza kumiminika tena soon.
Maendeleo hayana vyama!
Janeti au?Mtoto wake kumbe alikuwa anaumwa hili dubwana
Ushaambiwa ugonjwa hauna dawa we unatakaje?Na kuna watu laki kadhaa waliougua wakakaa tu nyumbani wakajifungia wakapona. Hahah zee jinga hili, mtu moja kupona haimaanishi ni dawa, ingekua hivyo watu milioni waliopona duniani kwa kukaa tu miili yao ikapambana na virusi tungesema hiyo ni dawa kwa hiyo tusifanye lolote.
PhD hivi aligawiwa bure? Au alifanyiwa research na mtu mwingine? Mbona jinga sana?
Kitaa chenu wamepukutika wangapiyeye mwache tu,mbona amejificha chato arudi dar tupige kazi na afanye ziara zake kama kawaida hapo ndio nitaamini maneno yake,kwaniini anatuambia sie tupige kazi tupukitike wakati yeye amejikarantini? Nadhani mzee ana target ya kuwaperish wagonjwa wenye magonjwa nyemelezi wote,watu wenye presha,sukari,overweight(obese),ngoma ndio watakaoumia.
Na amejifukiza kala malimao kapona,,Mtoto wake kumbe alikuwa anaumwa hili dubwana
Hi Baby!!! Habari ya kuadimika. Tunakushukuru kwa kutuletea mtoto mzuri Bia yetu.
Magufuli oyeeeeeeeee
Makonda oyeeeeeeee
Cocochanel oyeeeeeeee
Jamii Forums oyeeeeeeee
Kama yapi?Hiyo haiwezzi kuwa sababu kwasababu yeye anapingana na maelekezo yote ya kitaalamu
Sio peke yake. Watanznia wengi hawako vizuri kichwaniHuyu mzee tumsamehe tu. Huenda hayuko sawa kichwani. In fact hayupo sawa kichwani!
Mweeee sijui tuamini lipi aisee,na akiongea yy ni sheria màana hata kusisitizwa tunavyosisitiziwa kwa sasa itakua basi tenaBiashara ya barakoa inaelekea kufa.
Raisi amewasifia waumini na mchungaji kwa kuto vaa barakoa.
Hata ye mwenyewe hajawahi kuvaa hata siku moja.
Hawatangazi vifo wala idadi ya wagonjwa alafu anawaaminisha huu ugonjwa sio issue!
kazi kwenu wabongo!
Wakifungua watakuja kutuomba chakula,tumeambiwa tusiwanyimeHuku tukiwa tunefungiwa mipaka na majirani zetu, sisi tunajiandaa kufungua vyuo, na michezo iendelee.
Sent using Jamii Forums mobile app