Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020)

Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020)

yeye mwache tu,mbona amejificha chato arudi dar tupige kazi na afanye ziara zake kama kawaida hapo ndio nitaamini maneno yake,kwaniini anatuambia sie tupige kazi tupukitike wakati yeye amejikarantini? Nadhani mzee ana target ya kuwaperish wagonjwa wenye magonjwa nyemelezi wote,watu wenye presha,sukari,overweight(obese),ngoma ndio watakaoumia.
Kitaa chenu wamepukutika wangapi
 
Mtalii gani yupo tiyari ku risk maisha yake in Dark country, aache kudanganya watu, labda afungue vyuo maana hilo lipo ndani ya uwezo wake lakini siyo kuleta watalii kipindi hiki
Wewe kula kulala uliyejifungia ndani kufuatilia habari kupitia mange na kigogo huwezi kuelewa haya mambo ni makubwa sana kwako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila kasisitiza kwa kumnukuu Jakaya "za kuambiwa chnganya na zako"
 
Na kuna watu laki kadhaa waliougua wakakaa tu nyumbani wakajifungia wakapona. Hahah zee jinga hili, mtu moja kupona haimaanishi ni dawa, ingekua hivyo watu milioni waliopona duniani kwa kukaa tu miili yao ikapambana na virusi tungesema hiyo ni dawa kwa hiyo tusifanye lolote.
PhD hivi aligawiwa bure? Au alifanyiwa research na mtu mwingine? Mbona jinga sana?
Ushaambiwa ugonjwa hauna dawa we unatakaje?
 
yeye mwache tu,mbona amejificha chato arudi dar tupige kazi na afanye ziara zake kama kawaida hapo ndio nitaamini maneno yake,kwaniini anatuambia sie tupige kazi tupukitike wakati yeye amejikarantini? Nadhani mzee ana target ya kuwaperish wagonjwa wenye magonjwa nyemelezi wote,watu wenye presha,sukari,overweight(obese),ngoma ndio watakaoumia.
Kitaa chenu wamepukutika wangapi
 
Hi Baby!!! Habari ya kuadimika. Tunakushukuru kwa kutuletea mtoto mzuri Bia yetu.

Magufuli oyeeeeeeeee

Makonda oyeeeeeeee

Cocochanel oyeeeeeeee

Jamii Forums oyeeeeeeee

Muntu anayejiamini angetumia ID yake sio fekelo juu ya fekelo..
Baby yako nani!!!!!!
Mtoto!!!

Hunifahamu.. mimi huwa sina upupwuuu wa kuandika uliyoandika humu.. jiheshimu..
 
Huku tukiwa tumefungiwa mipaka na majirani zetu, sisi tunajiandaa kufungua vyuo, na shughuli za michezo ziendelee.

Sijui muongo ni majirani zetu, au tumeamua kujidanganya wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo haiwezzi kuwa sababu kwasababu yeye anapingana na maelekezo yote ya kitaalamu
Kama yapi?
Magufuli amepiga marufuku mwenge
Magufuli amepiga marufuku sherehe za muungano na pesa kapeleka visiwani zikapambane na corona
Magufuli amefuta mei mosi
Magufuli amefunga shule zote na vyuo
Magufuli amesimamisha michezo yote
Serikali ya magufuli ilitayarisha hosputali zake kwa ajili ya kupokea wagonjwa
Magufuli amesisitiza barakoa na kunawa mikono
Ulitaka Rais wetu afanye nini?mnyonge mnyongeni
 
Biashara ya barakoa inaelekea kufa.
Raisi amewasifia waumini na mchungaji kwa kuto vaa barakoa.
Hata ye mwenyewe hajawahi kuvaa hata siku moja.
Mweeee sijui tuamini lipi aisee,na akiongea yy ni sheria màana hata kusisitizwa tunavyosisitiziwa kwa sasa itakua basi tena
 
Back
Top Bottom