DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Ujinga uliofanywa mwaka 2015 unaligharimu taifa big time
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu unaitaka kesi ya uhujumu uchumi? Zama hizi sio wengine hawapendi kukosolewa, au sababu upo Yu Esi Ei kwa Tlampu hawawezi kukupata 😊
Lionee kwani uhuru wa maoni ni fadhila?
Ni dhambi mbele za Mungu kutokumuamini kiongozi wako kiasi hicho. Alikutenda nini?? Mbona tulimuamini Mh Mbowe aliposema mwanaye kila akipimwa bado anao??
Hehehehehehehe hii kauli sitaisahau[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tulieni wazeiya.
Nimemtuma Kinana kwenda kutibiwa India-Mkulu.
Duhhh lugha gani tena hii mkuutehe tehe tehe tehe tehe tehe tehe,mbeku kanatanu afisimku.sawa sawa ndugu.
Hahah daah mpk leo sijawahi kuielewa kabisa maana yake mkuu.Hehehehehehehe hii kauli sitaisahau[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kondom zipo dukani zinauzwa bado kununua au kutokununua ni maamuzi yako WEWE TUSasa kama korona hakuna basi msituambie tvae barakoa wala kutakasa mikono kwa maji tiririka au "Santaiza" maana hata tukifa kwa korona sio ajabu maana malaria ,ukimwi, tb nazo zinaua!! Turudi kama awali basi toeni tamko basi msituambie tunawe mikono,waambie wizara ya afya wastop tangazo la mpoto maana hali ni shwari sasa.
Chezea kande za bure at taxpayers and donors expense. Yani unavimbiwa unajikuta unapayukapayuka hofyo hofyo.Tulieni wazeiya.
Nimemtuma Kinana kwenda kutibiwa India-Mkulu.
Mkuu unashanga mwana CCM kuongopa,kiufupi hawaangalii mahala gani walipo wao husema yasiyoyakweli kwa jamii inayowazunguka.nimeamini pale MEMBE aliposema CCM ni kiwanda cha kuzalisha UONGO na UZANDIKIWenye akili wote waling'amua pale pale
Ila wanaccm ni balaa ! unaongopa mazabauni !
Yani jamaa anatona watoto .
Census ya mwaka 2012 ilikuwa 47.05 milioniResearch ya kienyeji sana uliyoifanya. Hao milioni 60 ni pamoja na mbuzi wa kijijini kwenu?
Mbona mimi huwa naongea nao nawaambia live wenyewe.Mkuu unaitaka kesi ya uhujumu uchumi? Zama hizi sio wengine hawapendi kukosolewa, au sababu upo Yu Esi Ei kwa Tlampu hawawezi kukupata [emoji4]