Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020)

Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020)

Lionee kwani uhuru wa maoni ni fadhila?

Ulimwengu wa sasa umefikia pahali ambapo utoaji wa maoni hauhodhiwi tena na makundi ya watawala, vyombo vya habari, taasisi za kidini au washinikizaji wengine wenye mirengo yao na maslahi binafsi kila wanapokuja hewani.

Hili si jambo la kuchukia na kukejeli na wala hatuwezi kupigana nalo.

Tusikilizane na kuvumiliana tu.
 
Ndiyo tatizo la kuwa muongo muongo. Leo huamini vipimo vya kutoka maabara kesho unaviamini! Na huyo mwanae aliugua lini? Amejuaje kapona? Kama kapimwa kapimiwa wapi wakati maabara zinafanyiwa “marekebisho”

Ni dhambi mbele za Mungu kutokumuamini kiongozi wako kiasi hicho. Alikutenda nini?? Mbona tulimuamini Mh Mbowe aliposema mwanaye kila akipimwa bado anao??
 
mnhhhh mbona tutakua wa kwanza duniani kuwa na nyunguziii inayotibu korona...sijui kwa nini WHO wamechelewa kumtambua rais wetu na mfukizo wake unaotibu korona?? eti??
 
Sasa kama korona hakuna basi msituambie tvae barakoa wala kutakasa mikono kwa maji tiririka au "Santaiza" maana hata tukifa kwa korona sio ajabu maana malaria ,ukimwi, tb nazo zinaua!! Turudi kama awali basi toeni tamko basi msituambie tunawe mikono,waambie wizara ya afya wastop tangazo la mpoto maana hali ni shwari sasa.
Kondom zipo dukani zinauzwa bado kununua au kutokununua ni maamuzi yako WEWE TU
 
Wenye akili wote waling'amua pale pale

Ila wanaccm ni balaa ! unaongopa mazabauni !
Mkuu unashanga mwana CCM kuongopa,kiufupi hawaangalii mahala gani walipo wao husema yasiyoyakweli kwa jamii inayowazunguka.nimeamini pale MEMBE aliposema CCM ni kiwanda cha kuzalisha UONGO na UZANDIKI

Kiufupi huyu mzee me huwa simuamini hata kidogo pindi aongeapo kitu/vitu Fulani kwa wananchi wake kifupi ni MUONGO sana..

Nakumbuka pale aliposema Sadam Hussein rais wa quwait aisee! Usanii alianza muda mwingi ila hatukuwa tumemstukia tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Research ya kienyeji sana uliyoifanya. Hao milioni 60 ni pamoja na mbuzi wa kijijini kwenu?
Census ya mwaka 2012 ilikuwa 47.05 milioni
Growth rate kila mwaka ni 3%
Projection za mwaka huu ni mil 59.60
1589758261242.png
 
Death rate ya Corona ni 2-3%, wengi wa wanaokufa hata huko Ulaya na Marekani ni hofu kwa sababu walishaimbiwa sana kuwa Corona inaua, Corona haina dawa na blaa blaa nyingi sana.
CORONA INA DAWA, Dawa ya Corona ni kutoogopa, hayo mengine Mungu atafanya
"Viva Magufuli, wewe ni Kiongozi shupavu na makini wakati wa vita"
 
Mkuu unaitaka kesi ya uhujumu uchumi? Zama hizi sio wengine hawapendi kukosolewa, au sababu upo Yu Esi Ei kwa Tlampu hawawezi kukupata [emoji4]
Mbona mimi huwa naongea nao nawaambia live wenyewe.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Back
Top Bottom