Rais Magufuli: Hali kwa sasa ipo vizuri na Corona inapungua. Wanafunzi wa Form VI na Vyuo vyote kufunguliwa 01 Juni 2020

Kwa wanafunzi (wengi wao ni vijana wa chini ya miaka 25), nafikiri hapana shida sana. Kwenye michezo, wangeanza bila watazamaji kwanza na kuangalia hali inavyokwenda.
Waalimu wao vipi? Wenye Chronic debilitating diseases nao itakuaje au wakifa 1/10 ni negligible kwa taifa?
 
Reactions: SMU
Wakuu naomba kujua jambo moja, Rais magufuli ameruhusu wanafunzi wa Vyuo Vikuu kurejea vyuoni na kuendelea na masomo yao, je kwa wale wanafunzi wa vyuo vikuu walioko huko Nyumbani Tanzania lakini wanasoma huku ng'ambo ambako nchi nyingi hawajaruhusu wanafunzi kurejea vyuoni watafanyaje,

mfano wanafunzi wanaosoma nchini Kenya, Uganda, Rwanda ambako hawajaruhusu watu wao kuendelea na mambo na bado wamefungiwa, watafanyaje waendelee na masomo yao kama hao wa huko tz?
 
minoti kutoka Canada ahahahaa tangu lini mbuzi jike kamkataa beberu
 
Tuacheni uvivu, tumeranda sana mitaani sasa bora hata turudi shuleni maana huku tunapoteza muda tu, hakuna CHA korona wala ndugu yake Na korona, tutaendelea kujikinga huku tunaendelea Na masomo.
 
W Watu waliokaribu naye wamepima corona wako negative
 
W Watu waliokaribu naye wamepima corona wako negative
 
W Watu waliokaribu naye wamepima corona wako negative
 
Waendelee kusubiri mpaka hapo mamlaka za nchi hizo zitakapo toa muongozo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaambukiza pia kupitia mate mate yanayotoka mdomo ni. Usipokuwa na barakoa mate yanaweza kutuma na kutua ukutani, juu ya meza, kwenye kutasa ni. Anaeyashika mate haya ni rahisi kupata maambukizi.

Hivi wale wanokula koni za Bakhresa nao wanaweza ambukizwa Convid 19?
 
Heading (argument) yako ni ya kijinga
Ova!
 
Haina shida,! Uzuri mtu akifika chuo halazimishwi kusoma,
Ila maisha yatamlazimisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi kumbe wanachuo Wana raha Sana,Ina maana hata nikikacha kipindi mwalimu haji bwenini kusaka waluojongo vipindi?,mwalimu wa zamu hafanyi patrol bwenini?.
Nisivyopenda kusoma,ningeota kitambi asee😆😆
 
🤣 🤣 🤣 yani nyungu ndiyo kinga ya korona?
🤣 🤣 🤣 yani nyungu ndiyo kinga ya korona?
Tupatie sababu za kisayansi kwanini huamini kwamba nyungu ni kinga mojawapo ya Corona...wenzako wameshatoa sababu za kisayansi kwamba virus huyo hawezi kustahi mili kwenye heat...kwa hiyo kujifukiza kunaleta heat kwa hiyo huyo virus anapukutika...
 
Hongera Magufuli kwa uamuzi huu kufungua vyuo, michezo na kuwaruhusu form six kuendelea kuendelea na masomo ili kujiandaa na mitihani.

Huu Ni uamuzi wa kujiamini baada ya kuona maambukizi kupungua. Tuombe Mungu Mambo yaende vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chuma kimerejea. Tunataka hivyo, Rais aongee kutokea Ikulu tulipompangia it is weighty.
 

Hii ni juu ya vyuo vilivyo ndani ya Tanzania, wanaosoma ng'ambo wafate maagizo ya vyuo au nchi wanazosoma. Ila y umeuliza haya? Unashangaza
 
Basi kumbe wanachuo Wana raha Sana,Ina maana hata nikikacha kipindi mwalimu haji bwenini kusaka waluojongo vipindi?,mwalimu wa zamu hafanyi patrol bwenini?.
Nisivyopenda kusoma,ningeota kitambi asee[emoji38][emoji38]
Kule wale tayari ni watu wazima hamna mtu wa kumfuatilia, ndio maana wengine wanaona na wanaendelea na masomo wakimaliza chuo wanaachana.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…