Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Chadema mkuu,! Wewe nenda ufipa pale uone nyuso zao zilivyo sasa hivi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chadema mkuu,! Wewe nenda ufipa pale uone nyuso zao zilivyo sasa hivi.
Waalimu wao vipi? Wenye Chronic debilitating diseases nao itakuaje au wakifa 1/10 ni negligible kwa taifa?Kwa wanafunzi (wengi wao ni vijana wa chini ya miaka 25), nafikiri hapana shida sana. Kwenye michezo, wangeanza bila watazamaji kwanza na kuangalia hali inavyokwenda.
Wewe mwenzetu unaonaje??Hivi darasani watatakiwa kuvaa barakoa au kunawa kwa maji tiririka kutatosha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Africa ipi?Mwamba wa africa!
Karibu
Wageni wameshawasili katika sherehe hii ambayo wateule kadhaa wataapishwa akiwemo Naibu waziri wa afya, Katibu tawala mkoa wa Pwani Mkurugenzi wa Takukuru na mabalozi.
Rais Magufuli ameshaingia ukumbini tayari kuanza kuwaapisha wateule wake.
=====
Baadhi ya mambo yaliyozungumzwa
Prof. Kabudi - Canada yaipongeza Tanzania kwa hatua ilizochukua dhidi ya CoronaVirus na wameahidi kusaidia kusaidia kwenye swala la elimu
Waziri Wa Ushirikiano wa Kimataifa wa Canada. Canada imetupongeza kwa namna ambavyo tumepambana na Covid19. Wameahidi watatisaidia katika maeneo ya elimu na afya kwa kadiri mahitaji yetu yatakavyokuwa.
Nilimsisitizia Waziri yule kuwa sisi watupe pesa na tutajua ni maeneo gani katika nchi hii tutazipeleka, katika kuimarisha uchumi na katika kupambana na maradhi haya.
Juzi pia niliongea na Balozi wa Umoja wa Ulaya. Umoja wa Ulaya umeamua kutoa Dola milioni 38 ambazo zitakuja Tanzania kutusaidia katika maeneo mbalimbali baada ya hili janga la Coronavirus.
Pia niliongea na Balozi wa Sweden kwa njia hii hii ya mtandao. Sweden wataongeza Dola milioni 20 katika bajeti ya elimu na Dola milioni 10 kwenda TASAF
Ummy Mwalimu - Tulijiandaa kuchukua uwanja wa sabasaba ili kuwaweka wagonjwa wa corona lakini sasa wagonjwa wamepungua kwa hiyo uwanja umerudishwa
Suleiman Jaffo - Nyungu season two inaanza Jumatatu... pia tuwaambie watalii kuwa, wanakaribishwa Tanzania wakifika wanapewa zawadi ya nyungu
Magufuli - Corona bado ipo, imepungua ni kweli lakini tuendelee kuchukua tahadhari
- Msikubali vifaa vya corona vinavyogawiwa na taasisi mbalimbali, kama ni kupokea kifaa cha kupambana na corona, kipitie Wizara ya Afya na kiwe checked.
- Katika michango hii unaweza kuletewa hata barakoa zenye corona kwa kuwa trend yetu iko vizuri, vya bure ni vibaya
- Mtu akileta kifaa kikichunguzwa kikakutwa na korona apewe kesi ya jinai hata ya kuua kabisa
- Vyuo vikuu vyote vitafunguliwa tarehe 1/6/2020
Vijana wa kidato cha sita watarudi shuleni 1/6/2020, pia iandaliwe crash program ili isiharibu utaratibu wa wao kuingia chuo kikuu,
Sekondari na shule za msingi zinapewa muda wa kujitazama ila chuo kikuu wanajitambua
Michezo
- Kuanzia tarehe 1/6/2020 michezo yote ianze rasmi kuanzia ligi daraja la kwanza, taratibu za kushangilia na kushabikia zitatolewa muongozo na Wizara ya Afya
Immunity inaongezeka mtu akiwa anainteract, ukimfungia immunity inaweza kushuka kwa 30%
--
Kuanzia tar 27/28 Mei 2020 itaanza kuruhusu ndege kuingia nchini, na watalii hawatafungiwa kwa siku 14, atamuikwa na kama joto lake litakuwa chini ya ile jotoridi linalotakiwa,
Miti ya kujifukiza itolewe kama Complementary kwa watalii
Magufuli: Mungu amejibu maombi yetu.
Watakaoguswa kuanzia Ijumaa, Jumamosi na Jumapili tutumie siku hizo kumshukuru Mwenyezi Mungu
Watu waliokaribu naye wamepima corona wako negative" Tulitangaza siku tatu za kufunga, na sasa waislamu wako kwenye mwezi mtukufu wanafunga, napenda niwahakikishie Watanzania maambukizi ya COVID-19 yamepungua sana, Na ninaamini siku moja ugonjwa utaisha kwa sababu Mungu yupo pamoja na sisi, tusiogope,tusitishane,na bahati nzuri hata Singida hapa nawaona hamjaogopa sana,hata waliovaa barakoa ni wachache,hata mimi sikuvaa,hata mkuu wa mkoa hakuvaa kwa sababu Mungu wetu yupo pamoja na sisi ". Rais Magufuli akiwa anazungumza na wananchi wa Singida.
Chanzo: Habari Star Tv Tanzania

Waendelee kusubiri mpaka hapo mamlaka za nchi hizo zitakapo toa muongozo.Wakuu naomba kujua jambo moja, Rais magufuli ameruhusu wanafunzi wa vyuo vikuu kurejea vyuoni na kuendelea na masomo yao, je kwa wale wanafunzi wa vyuo vikuu walioko huko Nyumbani Tanzania lakini wanasoma huku ng'ambo ambako nchi nyingi hawajaruhusu wanafunzi kurejea vyuoni watafanyaje, mfano wanafunzi wanaosoma nchini kenya,uganda,rwanda ambako hawajaruhusu watu wao kuendelea na mambo na bado wamefungiwa, watafanyaje waendelee na masomo yao kama hao wa huko tz?
Inaambukiza pia kupitia mate mate yanayotoka mdomo ni. Usipokuwa na barakoa mate yanaweza kutuma na kutua ukutani, juu ya meza, kwenye kutasa ni. Anaeyashika mate haya ni rahisi kupata maambukizi.
Heading (argument) yako ni ya kijinga" Tulitangaza siku tatu za kufunga, na sasa waislamu wako kwenye mwezi mtukufu wanafunga, napenda niwahakikishie Watanzania maambukizi ya COVID-19 yamepungua sana, Na ninaamini siku moja ugonjwa utaisha kwa sababu Mungu yupo pamoja na sisi, tusiogope,tusitishane,na bahati nzuri hata Singida hapa nawaona hamjaogopa sana,hata waliovaa barakoa ni wachache,hata mimi sikuvaa,hata mkuu wa mkoa hakuvaa kwa sababu Mungu wetu yupo pamoja na sisi ". Rais Magufuli akiwa anazungumza na wananchi wa Singida.
Chanzo: Habari Star Tv Tanzania
Basi kumbe wanachuo Wana raha Sana,Ina maana hata nikikacha kipindi mwalimu haji bwenini kusaka waluojongo vipindi?,mwalimu wa zamu hafanyi patrol bwenini?.Haina shida,! Uzuri mtu akifika chuo halazimishwi kusoma,
Ila maisha yatamlazimisha
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣 🤣 🤣 yani nyungu ndiyo kinga ya korona?
Tupatie sababu za kisayansi kwanini huamini kwamba nyungu ni kinga mojawapo ya Corona...wenzako wameshatoa sababu za kisayansi kwamba virus huyo hawezi kustahi mili kwenye heat...kwa hiyo kujifukiza kunaleta heat kwa hiyo huyo virus anapukutika...🤣 🤣 🤣 yani nyungu ndiyo kinga ya korona?
Karibu
Wageni wameshawasili katika sherehe hii ambayo wateule kadhaa wataapishwa akiwemo Naibu waziri wa afya, Katibu tawala mkoa wa Pwani Mkurugenzi wa Takukuru na mabalozi.
Rais Magufuli ameshaingia ukumbini tayari kuanza kuwaapisha wateule wake.
=====
Baadhi ya mambo yaliyozungumzwa
Prof. Kabudi - Canada yaipongeza Tanzania kwa hatua ilizochukua dhidi ya CoronaVirus na wameahidi kusaidia kusaidia kwenye swala la elimu
Waziri Wa Ushirikiano wa Kimataifa wa Canada. Canada imetupongeza kwa namna ambavyo tumepambana na Covid19. Wameahidi watatisaidia katika maeneo ya elimu na afya kwa kadiri mahitaji yetu yatakavyokuwa.
Nilimsisitizia Waziri yule kuwa sisi watupe pesa na tutajua ni maeneo gani katika nchi hii tutazipeleka, katika kuimarisha uchumi na katika kupambana na maradhi haya.
Juzi pia niliongea na Balozi wa Umoja wa Ulaya. Umoja wa Ulaya umeamua kutoa Dola milioni 38 ambazo zitakuja Tanzania kutusaidia katika maeneo mbalimbali baada ya hili janga la Coronavirus.
Pia niliongea na Balozi wa Sweden kwa njia hii hii ya mtandao. Sweden wataongeza Dola milioni 20 katika bajeti ya elimu na Dola milioni 10 kwenda TASAF
Ummy Mwalimu - Tulijiandaa kuchukua uwanja wa sabasaba ili kuwaweka wagonjwa wa corona lakini sasa wagonjwa wamepungua kwa hiyo uwanja umerudishwa
Suleiman Jaffo - Nyungu season two inaanza Jumatatu... pia tuwaambie watalii kuwa, wanakaribishwa Tanzania wakifika wanapewa zawadi ya nyungu
Magufuli - Corona bado ipo, imepungua ni kweli lakini tuendelee kuchukua tahadhari
- Msikubali vifaa vya corona vinavyogawiwa na taasisi mbalimbali, kama ni kupokea kifaa cha kupambana na corona, kipitie Wizara ya Afya na kiwe checked.
- Katika michango hii unaweza kuletewa hata barakoa zenye corona kwa kuwa trend yetu iko vizuri, vya bure ni vibaya
- Mtu akileta kifaa kikichunguzwa kikakutwa na korona apewe kesi ya jinai hata ya kuua kabisa
- Vyuo vikuu vyote vitafunguliwa tarehe 1/6/2020
Vijana wa kidato cha sita watarudi shuleni 1/6/2020, pia iandaliwe crash program ili isiharibu utaratibu wa wao kuingia chuo kikuu,
Sekondari na shule za msingi zinapewa muda wa kujitazama ila chuo kikuu wanajitambua
Michezo
- Kuanzia tarehe 1/6/2020 michezo yote ianze rasmi kuanzia ligi daraja la kwanza, taratibu za kushangilia na kushabikia zitatolewa muongozo na Wizara ya Afya
Immunity inaongezeka mtu akiwa anainteract, ukimfungia immunity inaweza kushuka kwa 30%
--
Kuanzia tar 27/28 Mei 2020 itaanza kuruhusu ndege kuingia nchini, na watalii hawatafungiwa kwa siku 14, atamuikwa na kama joto lake litakuwa chini ya ile jotoridi linalotakiwa,
Miti ya kujifukiza itolewe kama Complementary kwa watalii
Magufuli: Mungu amejibu maombi yetu.
Watakaoguswa kuanzia Ijumaa, Jumamosi na Jumapili tutumie siku hizo kumshukuru Mwenyezi Mungu
Wakuu naomba kujua jambo moja, Rais magufuli ameruhusu wanafunzi wa vyuo vikuu kurejea vyuoni na kuendelea na masomo yao, je kwa wale wanafunzi wa vyuo vikuu walioko huko Nyumbani Tanzania lakini wanasoma huku ng'ambo ambako nchi nyingi hawajaruhusu wanafunzi kurejea vyuoni watafanyaje, mfano wanafunzi wanaosoma nchini kenya,uganda,rwanda ambako hawajaruhusu watu wao kuendelea na mambo na bado wamefungiwa, watafanyaje waendelee na masomo yao kama hao wa huko tz?
Kule wale tayari ni watu wazima hamna mtu wa kumfuatilia, ndio maana wengine wanaona na wanaendelea na masomo wakimaliza chuo wanaachana.Basi kumbe wanachuo Wana raha Sana,Ina maana hata nikikacha kipindi mwalimu haji bwenini kusaka waluojongo vipindi?,mwalimu wa zamu hafanyi patrol bwenini?.
Nisivyopenda kusoma,ningeota kitambi asee[emoji38][emoji38]