Nilisema jana. Kaona aibu kumuapishia Mollel pale J's Hotel. Ngonja tusikie vijembe vya leo.
DodomaNi wapi Dar au Dodoma?.....tunaomba update
Na ulivyokuwa famous, Dunia nzima inakumbuka na iliona ulichosema jana, hadi Raisi wa nchi kaona aibu, kweli Mchaga wewe kiboko, ...
Vipi wanagawa barakoa huko vyuoni au
Ila watu wa dizaini hii wanakuaga vichwa sana..Yaani namchukulia kama Mabior Garang vile.
Hahahahha. Nilikuambia mimi safari hii lazima pichu uvae kichwani.Wote wako under terror!under tension! Nyuso za woga dhahiri. Nyuso kama hizi tulikuwa tunaziona wakati wa IDD Amin anaongea namawaziri wake! Hapo alipo akisema kilammoja "ambusu" mwenzake watafanya huku wakijua wazi kuna hatari ya kufanya hivyo due to corona!
Ngoja mzee amalize nimwombe akupe iyo wizara
Source,Mhemishiwa Raisi,now now. Mliokula ada mtajijua
Mashi gako.Na ulivyokuwa famous, Dunia nzima inakumbuka na iliona ulichosema jana, hadi Raisi wa nchi kaona aibu, kweli Mchaga wewe kiboko, ...