Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Ina maana ame-specialize kwenye hayo?! TehtehtehLeo hauna taarifa za rip?!
Usitake kupanikisha watu wewe kuna kitu umeshahau Walikuwa bado hawajafunga ile mid-term ya mwisho ndani ya mwaka. Kwa hiyo wakirudi wanaenda kumalizia wiki ambazo zilikuwa zimebaki kabla ya mid-term break hiyo, halafu baada ya hapo wana-break, na baada ya break hiyo wanafungua tena na hapo ndiyo ada nyingine inakuwa inahitajika.Source,Mhemishiwa Raisi,now now. Mliokula ada mtajijua
Huyu mzee anaakili sana"Kwa shule zingine za sekondari na msingi, tujipe muda kidogo tuangalie hii phase ya vyuo, kwa sababu wao ni watu wazima wanaojitambua tofauti na mtoto wa darasa la kwanza. Tutaona trend [hali] inavyokwenda."- Rais wa Tanzania, Dkt
@MagufuliJP
Hukumsikia Lijuakali alisema chadema walitegemea kile kipindi wamejiweka karantin wangekufa wabunge anagalau watatu ili waseme waliona mbali na hako kajamaa ka G sam ndio kalipewa kazi ya kitangaza tanzia,!Ina maana ame-specialize kwenye hayo?! Tehtehteh
Hahahaha aise...nyie Ndugu zangu mnanivunja mbavu kwa vijembe vyenu...Hukumsikia Lijuakali alisema chadema walitegemea kile kipindi wamejiweka karantin wangekufa wabunge anagalau watatu ili waseme waliona mbali na hako kajamaa ka G sam ndio kalipewa kazi ya kitangaza tanzia,!
Sasa hivi kana hasira kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Unakuwa guided na evidence!, data not otherwise! Kama unaangali CNN, from Monday wamelegeza masharti partially, na infection imeongezeka as of today in Michigan? (kama sikosei)Angevaa mngesema anasema corona hakuna wakati wanavaa barokoa, hawajaa pia mnasema wangevaa so naona sio rahisi kumridhisha kila mmoja hasa kwenye uwanja wa siasa
Sent using kidole gumba
Ndio kusema Paskali atateuliwa ngwe ya pili?Dah!..watu wanakula teuzi na vyeo, hayo ndio maisha Sasa.
Kwani bado kuna corona?Hivi darasani watatakiwa kuvaa barakoa au kunawa kwa maji tiririka kutatosha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi darasani watatakiwa kuvaa barakoa au kunawa kwa maji tiririka kutatosha?
Sent using Jamii Forums mobile app