Rais Magufuli: Hali kwa sasa ipo vizuri na Corona inapungua. Wanafunzi wa Form VI na Vyuo vyote kufunguliwa 01 Juni 2020

" Tulitangaza siku tatu za kufunga, na sasa waislamu wako kwenye mwezi mtukufu wanafunga, napenda niwahakikishie Watanzania maambukizi ya COVID-19 yamepungua sana, Na ninaamini siku moja ugonjwa utaisha kwa sababu Mungu yupo pamoja na sisi, tusiogope,tusitishane,na bahati nzuri hata Singida hapa nawaona hamjaogopa sana,hata waliovaa barakoa ni wachache,hata mimi sikuvaa,hata mkuu wa mkoa hakuvaa kwa sababu Mungu wetu yupo pamoja na sisi ". Rais Magufuli akiwa anazungumza na wananchi wa Singida.

Chanzo: Habari Star Tv Tanzania
 
Daaa Sasa swala la nauli hapo Sijuwi itakuwaje. Wengine tuko ndanindani huku.
 
hongera mheshimiwaa. tuende mbele turundi nyuma nchiz za africa hasa tz tuna baahati sanaaa mabeberu waliohakiki kwa hesabu za makaratasi kwamb kutakuwa na vifo vya malefuu.leo ni aibu kwaoo
Well said, only 16 death Tz main land so far!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…