Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,573
- 10,063
Hongera mheshimiwaa. Twende mbele turundi nyuma nchiz za africa hasa tz tuna baahati sanaaa mabeberu waliohakiki kwa hesabu za makaratasi kwamb kutakuwa na vifo vya malefuu.leo ni aibu kwaoo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana mkulu analengo la kupromote tv ya Chama.!!Hivi hawa TBC wanatupanda kichwani? Kwa nini hawaoneshi?
Jemedari wetu namba 1 anatema madini tu.
Hili nalo nenoMimi nilishauri kwamba watoto wote wa kike watakaporudi shule wapimwe mimba kujua ni wangapi ni wajawazito, nina imani kubwa kwamba kuna bahadhi ya mabinti watakuwa ni wajawazito
Well said, only 16 death Tz main land so far!hongera mheshimiwaa. tuende mbele turundi nyuma nchiz za africa hasa tz tuna baahati sanaaa mabeberu waliohakiki kwa hesabu za makaratasi kwamb kutakuwa na vifo vya malefuu.leo ni aibu kwaoo
Sawa Mama Janet Magufuli.relax,unavyozidi kuhangaika..ndio inaingia zaidi na zaidi..nikutakie masomo mema form six binti yetu,am out.
Anavuta mafao ya uwaziri pia na ataendelea nao Hadi serikali mpya Kama itaona aendelee au la ni bidii yake kuimba kwaya tu.Lakini kumbuka anakaa na uwaziri wiki tu, bunge likivunjwa kazi hamna anarudi kutafuta ridhaa ya wananchi
Sent using Jamii Forums mobile app
Oooh sorry boss, nilisahau kuwa tutaiaga rasmi JumapiliKwani bado kuna corona ?
Hao ni system ya Nchi wanajua kila kitu, na kila wanachofanya wana uhakika nacho. Ukiona hawajavaa Barakoa, usidhani kuwa wamekosea au ni bahati mbaya ila ni kwamba wana uhakika kuwa hakuna haja ya kuvaa barakoaDuuh hamna aliyeváa Barakoa hata mmoja. Hii ni hatari sana aisee
Kwanza hiyo ya kufungua vyuo kwanza alafu msingi na sekondari zisubiri hali inavyoendelea, kawapiga dole la kati machademajemedari wetu namba 1 anatema madini tu
Watakuja kujifunza kwa Mbowe jinsi ya kutafuna bilioni 8Lol sasa Canada ni hatua gani hizo walizopongeza? Kujifukiza? Hawa watu wa kijani safari hii hata si wa kuwaamini.
wengine nao??
.Wengine kasema wasubiri kwanza maana primary na secondary bado madogo,udagaaa,cheza cheza nyingi until further notice.
Ila six wanarudi
Sent using Jamii Forums mobile app