Kwani Kabudi alivyoenda Madagascar kama ulibahatika kumuona, alifanya nini? Kama ulimuona, je avae barakoa ya nini tena? Za kwako chnanganya na za mwenzakoNimeogopa hapa nimemwona mkuu wa majeshi akiweka mikono usoni.Kagusa pua mdomo. Halafu li Kabudi linajisifu kutokuvaa Barakoa. Kumbe hawavai Barakoa kisa Boss wao kasema ?I thought ni kutoka mioyoni mwao.
Hiyo ni taasisi mlikuwa mnapiga kelele za kipumbavu ,hajiongozi anaongozwaSafi sana karudi nimependa.
Dah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mjomba iddi we noma!Nyie na vidudu mnasubiri,mapafu yenu bado machanga.😀
[emoji1][emoji1][emoji1]atieno tena.Taarifa njema hii kwa wanafunzi wote wa chuo hasa akina atieno
Punguza hasira mremboMaambukizi yamepungua huku umeacha kupima chizi wewe
ni wachache tu siunajua skully ya skani haina mzukaa vijana wetu wanamamb meng sanaa😅😅😅Vijana wa kidato cha sita..... Mwaka huui watapiga Mabanda sana !!!!.
Kama unakijana yupo kidato cha sita,.mwambie akomae kidogo tu, maana akikomaaa sana atapiga Kijiti kikali sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaa Sasa swala la nauli hapo Sijuwi itakuwaje......wengine tuko ndanindani huku
Ni kijana mdogo nadhani around 40 yrs. Hawa ndiyo watakuja kuwa dominant kwenye Baraza la Mawaziri linalokuja Oktoba, napredict hivyo.Dr Shika Mollel ,yaani jamaa hafananii kabisa na Unaibu Waziri.
Anavuta mafao ya uwaziri pia na ataendelea nao Hadi serikali mpya Kama itaona aendelee au la ni bidii yake kuimba kwaya tu.
Halafu wanatuambia tuchukue tahadhari. Wao wenyewe wanapuuza.Duuh hamna aliyeváa Barakoa hata mmoja. Hii ni hatari sana aisee
ni wachache tu siunajua skully ya skani haina mzukaa vijana wetu wanamamb meng sanaa[emoji28][emoji28][emoji28]
Cjui itakuwaje?mana wanavyojazana ktk lecture room then ukatokea mlipuko kaz itakuwepo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ng'wagukuAngu shi. Helu mayu. Naanza kupelekwa uchagani hivi hivi.
Usipotajirika awamu hii ukitoa singo utotajirika tena