Rais Magufuli: Hali kwa sasa ipo vizuri na Corona inapungua. Wanafunzi wa Form VI na Vyuo vyote kufunguliwa 01 Juni 2020

Rais Magufuli: Hali kwa sasa ipo vizuri na Corona inapungua. Wanafunzi wa Form VI na Vyuo vyote kufunguliwa 01 Juni 2020

Nimeogopa hapa nimemwona mkuu wa majeshi akiweka mikono usoni.Kagusa pua mdomo. Halafu li Kabudi linajisifu kutokuvaa Barakoa. Kumbe hawavai Barakoa kisa Boss wao kasema ?I thought ni kutoka mioyoni mwao.
Kwani Kabudi alivyoenda Madagascar kama ulibahatika kumuona, alifanya nini? Kama ulimuona, je avae barakoa ya nini tena? Za kwako chnanganya na za mwenzako
 
Kupiga nyungu pia Ni utalii tuendee kujifukiza
IMG_20200521_111603.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
dah yani kurudi tena chuo na maisha yalivyo magumu hivi ni changamoto kwangu naenda kurudia ile bajeti ya buku jero yani asubuh+mchana na jion=1500 mungu uniepushe na hayo makorona mana ikinipata tu sina hata dakika tano.
 
Dr Shika Mollel ,yaani jamaa hafananii kabisa na Unaibu Waziri.
Ni kijana mdogo nadhani around 40 yrs. Hawa ndiyo watakuja kuwa dominant kwenye Baraza la Mawaziri linalokuja Oktoba, napredict hivyo.

Niko pessimistic kwamba mawaziri wengi watakuwa between 40-50 yrs baraza lijalo. kwa hiyo wahamasisheni watoto 30-45 years waende wakagombee ubunge, watapata uteuzi awamu ijayo, mimi nina uhakika huo.

Na kitu cha pekee safari ni kwamba huhitaji fedha kupata Ubunge, unahitaji kupitishwa na chama chako tu basi. Rushwa haitakuwepo, na kama itakuwepo, watakaotoa rushwa ndiyo watatengeneza nafasi nzuri ziadi kwa wenzao kupata nafasi, wale wasiotoa rushwa.
 
Rais Magufuli ametangaza kufungua vyuo, Michezo na kidato cha sita kuanza masomo Juni 1, 2020, amesema pia mikusanyiko hiyo itasaidia kupata 'herd immunity'.

Nini maoni yenu? Is it true Corona imepungua? Si kwamba tunaenda kuuana/kuua vijana wetu? Watajikinga kweli? [emoji42] Suphian Juma on Twitter

Suphian Juma,
Mei 21, 2020.
IMG_20200521_104206.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom