Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,129
- 7,321
Kwani Kabudi alivyoenda Madagascar kama ulibahatika kumuona, alifanya nini? Kama ulimuona, je avae barakoa ya nini tena? Za kwako chnanganya na za mwenzakoNimeogopa hapa nimemwona mkuu wa majeshi akiweka mikono usoni.Kagusa pua mdomo. Halafu li Kabudi linajisifu kutokuvaa Barakoa. Kumbe hawavai Barakoa kisa Boss wao kasema ?I thought ni kutoka mioyoni mwao.