Rais Magufuli: Hali kwa sasa ipo vizuri na Corona inapungua. Wanafunzi wa Form VI na Vyuo vyote kufunguliwa 01 Juni 2020

Rais Magufuli: Hali kwa sasa ipo vizuri na Corona inapungua. Wanafunzi wa Form VI na Vyuo vyote kufunguliwa 01 Juni 2020

Kama wanakeep one m distance,hakuna haja ya barakoa. Unless unakohoa.
wanapenda kuvaa, wanaigilizia boss wao anataka nini? To sure hata kama uko distance inayotakwa, bado masks ni muhimu so as not to take chance!
 
"Vya dezo vinauwa"nzuri hii aiseee sijaona raisi makini namna hii

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Back
Top Bottom