Yaani mtu akisoma ulicho andika atadhani ndio ukweli hivii,kumbe ni kinyume cha mambo. Kweli unamlinganisha Comrade Magufuli na Membe au Lissu? It's ridiculous.Lissu mtoto wa loon Trump na Member mzee wa kula butter! Kweli kina kazi hapo.Ukweli mchungua Lissu ni maaarufu sana kuliko Magufuli, Lissu amesoma na kuelimika kuliko Magufuli, Lissu anaijua Tanzania na tatizo la nchi hii kuliko Magufuli, Lissu anaijuwa siasa ya ndani ya Tanzania na nje kuliko Magufuli, Lissu hana hata tuhuma moja ya ufisadi kama Magufuli.
Lissu anaelewa mizizi ya ufisadi wa taifa ili kuliko Magufuli, Lissu amekuwa akiwatetea watanzania hata kabla ya Magufuli kuanzia miaka ya 2000 uko.
Muda bado upo angalau ungemuachia Membe au Makamba angalau wangejenga hoja, Ila ukiendelea kutumia nguvu kupambana na Lissu utaenda Chato na mwenzio ataenda Ikulu.
Ukitaka kushinda jenga hoja ila kwa kutumia nguvu utaanguka na wapambe watakukimbia hakuna watu wanafiki kama watanzania hasa wapambe wa rais.
Nani kakuambia English is not our language? Una hakika?sasa aibu gan? ENGLISH isnt our language, mbna china hawatumii english??? what are you talking about
Hili ni tatizo. Kila mtu kuwa na utaratibu wake kutawala ni tatizo sana. Inamaana hapa hatujui anayefata atakuwa na utaratibu gani.Amejuruhiwa nini? Kuendesha siasa bila ustaarabu? au Ulitaka awe kama Kikwete? kila aingiae madarakani ana utaratibu wake wa kiutawala.
😂😂😂, Taifa la kichwa chako unalifahamu mwenyewe tu, Kama Lisu anaijua siasa ya Tz, msomi zaidi ya magufuli, Je 2015 Lisu alikuwa wapi kugombea urais!?. FOR WHAT IS WORTH LISU KWENDA IKULU NI NDOTO ZA MCHANA KWEUPE.Ukweli mchungua Lissu ni maaarufu sana kuliko Magufuli, Lissu amesoma na kuelimika kuliko Magufuli, Lissu anaijua Tanzania na tatizo la nchi hii kuliko Magufuli, Lissu anaijuwa siasa ya ndani ya Tanzania na nje kuliko Magufuli, Lissu hana hata tuhuma moja ya ufisadi kama Magufuli.
Lissu anaelewa mizizi ya ufisadi wa taifa ili kuliko Magufuli, Lissu amekuwa akiwatetea watanzania hata kabla ya Magufuli kuanzia miaka ya 2000 uko.
Muda bado upo angalau ungemuachia Membe au Makamba angalau wangejenga hoja, Ila ukiendelea kutumia nguvu kupambana na Lissu utaenda Chato na mwenzio ataenda Ikulu.
Ukitaka kushinda jenga hoja ila kwa kutumia nguvu utaanguka na wapambe watakukimbia hakuna watu wanafiki kama watanzania hasa wapambe wa rais.
Non senseLisu ndiye kiongozi anayepaswa Kuongoz Tanzania, hawa wengine wote hawafai hata kidgo, kila vitu vyao vina utata. Elimu ya lisu haina utata hata tone na ndiyo inamfanya awe mjenga hoja mzuri na kimbilio la kila mpenda haki. Matanga wanaumia sana
Dalili ya uoga hiiUkweli mchungua Lissu ni maaarufu sana kuliko Magufuli, Lissu dalili ya woga amesoma na kuelimika kuliko Magufuli, Lissu anaijua Tanzania na tatizo la nchi hii kuliko Magufuli, Lissu anaijuwa siasa ya ndani ya Tanzania na nje kuliko Magufuli, Lissu hana hata tuhuma moja ya ufisadi kama Maguful
Nani kakuambia English is not our language? Una hakika?
Nenda bungeni uone miswaada ya sheria ina andikwa kwa lugha gani? Mahakama zetu zinatumia lugha gani za mawasiliano kuanzia mahakama ya wilaya kwenda juu?
Na hata mawasiliano mengi ya kiofisi bado lugha ya kiingereza inachukua sehemu kubwa!
Sasa utasemaje sisi sio lugha yetu? Hivi unaweza kumpa hata u DC mtu asiyejua kiswahili na anajua kisukuma pekee?
Kwa degree au elimu ya nini mkuu?Ukweli mchungua Lissu ni maaarufu sana kuliko Magufuli, Lissu amesoma na kuelimika kuliko Magufuli, Lissu anaijua Tanzania na tatizo la nchi hii kuliko Magufuli, Lissu anaijuwa siasa ya ndani ya Tanzania na nje kuliko Magufuli, Lissu hana hata tuhuma moja ya ufisadi kama Magufuli...
Makubwa yapi?Magufuli the best president atashinda asubui tu tena kwa kura nyingi sana amefanya makubwa
kijijini kwenu umeenda lini mara ya mwisho
Atashinda kawaida tu mkuu tena 90 parcentLabda ashinde kwa kuchakachua au kwa kutumia vyombo vya ulinzi na usalama!.
Kuwatetea wezi. Ndiyo kuwatetea Watanzania? Kutetea acacia ndio huko? Natamani kutukanaUkweli mchungua Lissu ni maaarufu sana kuliko Magufuli, Lissu amesoma na kuelimika kuliko Magufuli, Lissu anaijua Tanzania na tatizo la nchi hii kuliko Magufuli, Lissu anaijuwa siasa ya ndani ya Tanzania na nje kuliko Magufuli, Lissu hana hata tuhuma moja ya ufisadi kama Magufuli.