Uchaguzi 2020 Rais Magufuli jipime umwachie Membe, Lissu atakuangusha mapema sana

Uchaguzi 2020 Rais Magufuli jipime umwachie Membe, Lissu atakuangusha mapema sana

Exactly tumechoka kusikia speech barako zinafanana na titi la mwanamke fulani lililokatatija upande!! Hakuna namna kila mtanzania atatengeneza barakoa yake! Lazima mafundi vyerehani washone!
 
Unawaza utoto mkuu.
Lissu ni maarufu sawa ila hana cha maana kumzidi Magufuli, mi sina chama ila nakwambia bado Magufuli hana mpinzani kwa siasa zetu.
 
Hatuyaangalii hayo madudu yako. Tunamtaka huyu huyu tuliye naye. Kumbuka, katuvusha salama coronani
Mleta mada umemuona huyu shetani aliyefika? hawa ndo wanaomvimbisha jamaa kichwa bila kumshauri vyema, hawa ndiyo watakaomkimbia jama akiwa anaitafuta chattle kwa tochi
 
Unawaza utoto mkuu.
Lissu ni maarufu sawa ila hana cha maana kumzidi Magufuli, mi sina chama ila nakwambia bado Magufuli hana mpinzani kwa siasa zetu.
Kwani aliyekuuliza chama chako ni nani? Hivi kwanini unakuwa kwenye lichama hulitaki lakini umekomaa nalo na kila ukiandika hoja yoyote lazima ujisalimishwe kwamba wewe siyo ccm. Tatizi kupenda kukaa bila kujishughulisha najua hapo kinachokutesa ni buku 7
 
Mi nafatilia siasa ila sina chama mkuu.
Niko huru kutoa mawazo wala sipingani na mawazo yako, kila mtu ana mtazamo wake, ukweli ni kwamba Magufuli hana mpinzani maana wapinzani walo legelege sana hawawezi kushindana na Magufuli.

Subiri uchaguzi utaona ukweli wa ninachokwambia.
 
Vipi, tayari mmeshapata tume huru ya uchaguzi. Isije tena muanze kulia lia huko mbele
 
Ukweli mchungua Lissu ni maaarufu sana kuliko Magufuli, Lissu amesoma na kuelimika kuliko Magufuli, Lissu anaijua Tanzania na tatizo la nchi hii kuliko Magufuli, Lissu anaijuwa siasa ya ndani ya Tanzania na nje kuliko Magufuli, Lissu hana hata tuhuma moja ya ufisadi kama Magufuli.

Lissu anaelewa mizizi ya ufisadi wa taifa ili kuliko Magufuli, Lissu amekuwa akiwatetea watanzania hata kabla ya Magufuli kuanzia miaka ya 2000 uko.

Muda bado upo angalau ungemuachia Membe au Makamba angalau wangejenga hoja, Ila ukiendelea kutumia nguvu kupambana na Lissu utaenda Chato na mwenzio ataenda Ikulu.
Ukitaka kushinda jenga hoja ila kwa kutumia nguvu utaanguka na wapambe watakukimbia hakuna watu wanafiki kama watanzania hasa wapambe wa rais.
Mjinga tu au unashauri upuuzi kusudi ukifikiri kuna wajinga wataafikiana na ujinga wako.
Nyie ndio wale fisadi watumbuliwa au pengine cheti feki maana ndio walikua wanajidai wasomi kwa vyeti feki. Eti lissu ni mtu wa kutishia nafasi ya magufuli ya urais. Au membe huyu mjivuni anayeringa eti kwenda kula chakula kizuri hotelini na mkewe?
Cheo cha urais sio vazi kuangalia litampendeza nani ndio avishwe. Ni shughuli nzito sio kuwapa nafasi wezi wa mali ya umma na vibaraka wa mabeberu kama lissu.
 
Ukweli mchungua Lissu ni maaarufu sana kuliko Magufuli, Lissu amesoma na kuelimika kuliko Magufuli, Lissu anaijua Tanzania na tatizo la nchi hii kuliko Magufuli, Lissu anaijuwa siasa ya ndani ya Tanzania na nje kuliko Magufuli, Lissu hana hata tuhuma moja ya ufisadi kama Magufuli.

Lissu anaelewa mizizi ya ufisadi wa taifa ili kuliko Magufuli, Lissu amekuwa akiwatetea watanzania hata kabla ya Magufuli kuanzia miaka ya 2000 uko.

Muda bado upo angalau ungemuachia Membe au Makamba angalau wangejenga hoja, Ila ukiendelea kutumia nguvu kupambana na Lissu utaenda Chato na mwenzio ataenda Ikulu.

Ukitaka kushinda jenga hoja ila kwa kutumia nguvu utaanguka na wapambe watakukimbia hakuna watu wanafiki kama watanzania hasa wapambe wa rais.
Unaonekana umekunywa faru John angalia tu usije teleza.
 
Lissu gani wa kupambana na Magufuli? Naona umejishtukia umeona Lissu size yake membe na si Magufuli. Kama lengo la chadema ni kwenda ikulu na mnaona Magufuli akipambana na Lissu mna shinda Sasa kwa Nini mnataka apambane na maembe ambaye atamshinda Lissu? Au hamtaki tena kushinda urais?

Sent using Jamii Forums mobile app
Membe ni mgombea wa ccm chadema hawana mtu kama huyo au unalazimisha baada ya kubanwa mbavu
 
Labda mleta Uzi hujui kuwa lissu hawezi kuwa mgombea wa cdm kwa kuwa lissu hapo alipo anakesi mbili za jinai,zinasubiri hukumu na amezikimbia ,lissu kamwe hawezi kuwa mgombea wenu labda kama mmeamua kuwa vipofu

Moja ya takwa la kisheria na katiba kwa mgombea yeyote wa nafasi ya udiwani ,ubunge na urais ni kuwa asiwe ametiwa hatiani kwa kosa lolote la jinai ndani ya miaka mitano,hapa alipo jamaa wenu lissu anasubiri hukumu tu ambapo ni LAZIMA akutikane na hatia,hapo mchezo utakuwa umeisha kwa huyo vuvuzela wenu

Sent using Jamii Forums mobile app
Lisu hajatiwa hatiani acha kihoro
 
Back
Top Bottom