Uchaguzi 2020 Rais Magufuli jipime umwachie Membe, Lissu atakuangusha mapema sana

Uchaguzi 2020 Rais Magufuli jipime umwachie Membe, Lissu atakuangusha mapema sana

Tulimpata Mzee Mwinyi yeye anapenda kupeta mambo yalikuwa ruksa. Tulimpata Mkapa yeye alikuwa anabana sana tulitoka kapa. Akaja Mzee Kikwete yeye ni Mzee wa bata tulikula bata nchi nzima. Amekuja Magufuli yeye ni mtu wa kazi sasa nchi nzima ni hapa kazi tu sasa Chadema wanataka wenyewe kutuletea Tundu Lisu yeye ni mtetezi wa mashoga inamaana kwa trendi na uzoefu hii nchi itaingia katika historia mbaya zaidi duni kwakuwa na machoko wengi kilakona hata kupata wataalii
Mungu atuepushe na kizazi hiki kinachopenda kuingia shimoni huku kinaona.
 
technically
Naunga mkono hoja yako kwa asikimia 100

Hakika ni bora tu akanyoosha mikono kabla ya pambano na kukiri wazi kuwa muziki wa Tundu Lissu hauwezi, kuliko kujitafutia aibu ya kuangushwa vibaya kwenye sanduku la kura!

Kwa bahadi mbaya jamaa yetu sio shoga ila ameolewa na beberu, alituonyesha kwenye mtandandao shemeji yetu.
 
Ukweli mchungua Lissu ni maaarufu sana kuliko Magufuli, Lissu amesoma na kuelimika kuliko Magufuli, Lissu anaijua Tanzania na tatizo la nchi hii kuliko Magufuli, Lissu anaijuwa siasa ya ndani ya Tanzania na nje kuliko Magufuli, Lissu hana hata tuhuma moja ya ufisadi kama Magufuli.

Lissu anaelewa mizizi ya ufisadi wa taifa ili kuliko Magufuli, Lissu amekuwa akiwatetea watanzania hata kabla ya Magufuli kuanzia miaka ya 2000 uko.

Muda bado upo angalau ungemuachia Membe au Makamba angalau wangejenga hoja, Ila ukiendelea kutumia nguvu kupambana na Lissu utaenda Chato na mwenzio ataenda Ikulu.

Ukitaka kushinda jenga hoja ila kwa kutumia nguvu utaanguka na wapambe watakukimbia hakuna watu wanafiki kama watanzania hasa wapambe wa rais.
Wale mabingwa wa kuandaa midahalo ya wagombea urais sasa ndio mtuandalie mdahalo kati ya LISSU na Magu. Kijasho kitamtoka. Hajui hata Tanganyika ilipata uhuru lini wala Chato inapakana na wilaya gani upande wa mashariki
 
Naunga mkono hoja. Membe atafaa sana, ana maono makubwa na ushawishi wa kidiplomasia. Magufuli ameifanya nchi yetu imekuwa kama kisiwa, apumzishwe.
 
Hatuyaangalii hayo madudu yako. Tunamtaka huyu huyu tuliye naye. Kumbuka, katuvusha salama coronani
Mlimuomba MUNGU atulinde na Corona lakini sasa huyu MUNGU kumbe amegeuka ni MAGU ndio anapewa sifa za kutuponya. Mweeee, ujinga huu sijui Mungu anatuonaje.
 
corona siyo Mungu tena aliyetuvusha au dah hii kiburi ya ccm lazima muangukie pua safari hii
Hakuna Mungu wa watanzania tuu. Mbona Kenya walijifungia ?? Mbona Uganda, na Rwabdaa walijifungia? ? Kama sio huyu wetu tungefia ndani kwa njaa
 
Katuvusha salama kwenye corona wakati kuna watu wamepoteza maisha!
Watu wamepotezea maisha ikulu au? ? Mtu kufa kunauhusiano gani na rais? ? Inamaana angekuwa mwingine vifo vingekoma Tz na duniani kote? ? Tafuteni visingizio vingine
 
Namkubali Lissu ni hitaji la sasa la watanzania. Utawala wa awamu ya 5 umetuonyesha umuhimu wa nchi kuendeshwa kwa mujibu wa sheria na katiba na ubinadamu.
Lissu atatupatia katiba mpya Tanzania
Lissu atarudisha heshima na haki ya kila mtanzania itarudi
Lissu anathamini watu na utu na atarejesha umoja wa taifa uliosambaratishwa na awamu hii
Lissu atafanya weledi (professionalism) urudi katika utendaji serikalini na kuondoa siasa na woga wa kijinga uliotamalaki sasa katika utendaji
Lissu atarudisha utawala wa haki na sheria na uhuru wa mawazo na expression
Lissu atathamini wafanyakazi wote na kufanya wapate na kuona thamani ya jasho lao

Go Lissu go.....uwakomboe watanzania.
Alafu kisasi kitalipwa lini ????!
 
Back
Top Bottom