Uchaguzi 2020 Rais Magufuli jipime umwachie Membe, Lissu atakuangusha mapema sana

Ukweli mchungua Lissu ni maaarufu sana kuliko Magufuli, Lissu amesoma na kuelimika kuliko Magufuli, Lissu anaijua Tanzania na tatizo la nchi hii kuliko Magufuli, Lissu anaijuwa siasa ya ndani ya Tanzania na nje kuliko Magufuli, Lissu hana hata tuhuma moja ya ufisadi kama Magufuli.

Lissu anaelewa mizizi ya ufisadi wa taifa ili kuliko Magufuli, Lissu amekuwa akiwatetea watanzania hata kabla ya Magufuli kuanzia miaka ya 2000 uko.

Muda bado upo angalau ungemuachia Membe au Makamba angalau wangejenga hoja, Ila ukiendelea kutumia nguvu kupambana na Lissu utaenda Chato na mwenzio ataenda Ikulu.

Ukitaka kushinda jenga hoja ila kwa kutumia nguvu utaanguka na wapambe watakukimbia hakuna watu wanafiki kama watanzania hasa wapambe wa rais.
Umenikumbusha zamani sana jamaa 2008 wakati wa kura za maoni ndani ya chama cha Democrat wapibaki wagombea wawili wenye nguvu na Yule mgombea alimfuata Obama na kumwambia jiondoe kwenye kinyang'anyiro nikishinda nitakuchagua kua Makamu wa Rais...

Obama akamwambia unavyonitizama naonekana kama mgombea wa umakamu wa Rais tuwaache wamarekani waamue.

Najua mwisho wa hadithi hiyo unaijua

KARIBU SANA MKUU
 
Mmeamua kumchafua tu, lakini Lissu ni Messiah hata Herrord afanye nini maandiko yatatimia.
Lakini la Lissu kusapoti ushoga hatujamsemea sisi bali yeye mwenyewe wakati anaziara ya ulaya na America ndio alisema hivyo kwamba haoni tatizo la weee Sky Eclat kutafuta kabinti flani hivi amazing ukakawowa!
 
Leo naona wapiga kampeni mmekazana nimesikia

Nyalandu lisu mwele na wengne wanataja mwenyekiti

Naona watu hawajatia nia ila wajumbe mmewapa nafasi
Mkuu hawa wamekuja ku "test the waters" wanasikilizia respond ya wananchi ambacho hawajui wapiga kura kwenye social media ni 15% tu ambayo napo wamegaragazwa vibaya sana...
 
Ukweli mchungua Lissu ni maaarufu sana kuliko Magufuli, Lissu amesoma na kuelimika kuliko Magufuli, Lissu anaijua Tanzania na tatizo la nchi hii kuliko Magufuli, Lissu anaijuwa siasa ya ndani ya Tanzania na nje kuliko Magufuli, Lissu hana hata tuhuma moja ya ufisadi kama Magufuli.

Lissu anaelewa mizizi ya ufisadi wa taifa ili kuliko Magufuli, Lissu amekuwa akiwatetea watanzania hata kabla ya Magufuli kuanzia miaka ya 2000 uko.

Muda bado upo angalau ungemuachia Membe au Makamba angalau wangejenga hoja, Ila ukiendelea kutumia nguvu kupambana na Lissu utaenda Chato na mwenzio ataenda Ikulu.

Ukitaka kushinda jenga hoja ila kwa kutumia nguvu utaanguka na wapambe watakukimbia hakuna watu wanafiki kama watanzania hasa wapambe wa rais.
Ukweli mchungu kama kufiwa na Covid-19
 
Naomba mzidi kujitahidi, ilà Magu anashinda, tena bila wizi. Binafsi namuelewa sana jiwe.
 
Ukweli mchungua Lissu ni maaarufu sana kuliko Magufuli, Lissu amesoma na kuelimika kuliko Magufuli, Lissu anaijua Tanzania na tatizo la nchi hii kuliko Magufuli, Lissu anaijuwa siasa ya ndani ya Tanzania na nje kuliko Magufuli, Lissu hana hata tuhuma moja ya ufisadi kama Magufuli.

Lissu anaelewa mizizi ya ufisadi wa taifa ili kuliko Magufuli, Lissu amekuwa akiwatetea watanzania hata kabla ya Magufuli kuanzia miaka ya 2000 uko.

Muda bado upo angalau ungemuachia Membe au Makamba angalau wangejenga hoja, Ila ukiendelea kutumia nguvu kupambana na Lissu utaenda Chato na mwenzio ataenda Ikulu.

Ukitaka kushinda jenga hoja ila kwa kutumia nguvu utaanguka na wapambe watakukimbia hakuna watu wanafiki kama watanzania hasa wapambe wa rais.
Lissu gani wa kupambana na Magufuli? Naona umejishtukia umeona Lissu size yake membe na si Magufuli. Kama lengo la chadema ni kwenda ikulu na mnaona Magufuli akipambana na Lissu mna shinda Sasa kwa Nini mnataka apambane na maembe ambaye atamshinda Lissu? Au hamtaki tena kushinda urais?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli mchungua Lissu ni maaarufu sana kuliko Magufuli, Lissu amesoma na kuelimika kuliko Magufuli, Lissu anaijua Tanzania na tatizo la nchi hii kuliko Magufuli, Lissu anaijuwa siasa ya ndani ya Tanzania na nje kuliko Magufuli, Lissu hana hata tuhuma moja ya ufisadi kama Magufuli.

Lissu anaelewa mizizi ya ufisadi wa taifa ili kuliko Magufuli, Lissu amekuwa akiwatetea watanzania hata kabla ya Magufuli kuanzia miaka ya 2000 uko.

Muda bado upo angalau ungemuachia Membe au Makamba angalau wangejenga hoja, Ila ukiendelea kutumia nguvu kupambana na Lissu utaenda Chato na mwenzio ataenda Ikulu.

Ukitaka kushinda jenga hoja ila kwa kutumia nguvu utaanguka na wapambe watakukimbia hakuna watu wanafiki kama watanzania hasa wapambe wa rais.

Lisu yule anaehitaji mapenzi ya jinsia moja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yeye aendelee kutangaza ushoga

Twende na JPM 2020. Mwamba wetu JPM
 
Magufuli the best president atashinda asubui tu tena kwa kura nyingi sana amefanya makubwa
Kweli hao wanaweweseka hawajui hata Kama watapata wabunge.
JamiiForums1132841034_148x256.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda mleta Uzi hujui kuwa lissu hawezi kuwa mgombea wa cdm kwa kuwa lissu hapo alipo anakesi mbili za jinai,zinasubiri hukumu na amezikimbia ,lissu kamwe hawezi kuwa mgombea wenu labda kama mmeamua kuwa vipofu

Moja ya takwa la kisheria na katiba kwa mgombea yeyote wa nafasi ya udiwani ,ubunge na urais ni kuwa asiwe ametiwa hatiani kwa kosa lolote la jinai ndani ya miaka mitano,hapa alipo jamaa wenu lissu anasubiri hukumu tu ambapo ni LAZIMA akutikane na hatia,hapo mchezo utakuwa umeisha kwa huyo vuvuzela wenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muda bado upo angalau ungemuachia Membe au Makamba angalau wangejenga hoja, Ila ukiendelea kutumia nguvu kupambana na Lissu utaenda Chato na mwenzio ataenda Ikulu.
Inawezekana uliyoyaandika ni kwa nia njema tu lakini kiuhalisia ni dunia ya kufikirika. Magufuli hawezi kumwachia Membe hata iweje. Keshaonja asali na sasa anachonga mzinga. Halafu unamtaja na Makamba ? Mbona dogo hafai hata kidogo ? Hivi Tanzania tumeishiwa wagombea urais kiasi hiki mpaka umtaje huyo dogo ? Siamini kama tumeishiwa kiivyo
 
Back
Top Bottom