Uchaguzi 2020 Rais Magufuli jipime umwachie Membe, Lissu atakuangusha mapema sana

Uchaguzi 2020 Rais Magufuli jipime umwachie Membe, Lissu atakuangusha mapema sana

Una miaka 6 mingine ya uvumilivu wakati Magu anaijenga nchi[emoji3][emoji3]
Lisu ndiye kiongozi anayepaswa Kuongoz Tanzania, hawa wengine wote hawafai hata kidgo, kila vitu vyao vina utata. Elimu ya lisu haina utata hata tone na ndiyo inamfanya awe mjenga hoja mzuri na kimbilio la kila mpenda haki. Matanga wanaumia sana
 
Hatutaki Rais wa kujaribisha uongozi tunataka Rais asie wanyenyekea wakoloni
Wewe na Kabudi uelewa wa forein policy ni mdogo!!
TAMLissu hata Wasukuma wa Nyangwale na Kahama yote ndg zao waliofukiwa wakiwa hai kwenye mashimo ya dhahabu wanamfahamu!!
Lengo la kumuondoa mapema kwe ye ulingo lilifeli sasa tuliauone moto wake!!
Natamani Lissu arudi mapema ili kazi ianze!!
 
Tundu Leso aje,aje mapema sana. agombee CDM watanzania tumuadhibu kwa vitendo,kwa kuipaka tanzania matope kwa mabeberu.
 
Tanzania ilipofika kwa sasa inahitaji utawala thabiti wa sheria, Tunahitaji Polisi inayowalinda na kuwatumikia wananchi wote na sio kupendelea viongozi. Tunaitaji kuona majiji, Halmashauri na miji yote ikiongozwa na kisheria (wakurugenzi,wataalamu) na sio maelekezo ya Wakuu wa mikoa na wilaya.
Tunahitaji Binge lenye nguvu linaloruhusu nguvu ya Hoja toka Chama tawala na upinzani.nk

Magufuli vs Lissu ni nani anatosha ?
 
NAUSAPOTI UPINZANI KWA SANA ILA SIJAONA KAMA WAKO TAYARI KUSHIKA NCHI
Wapinzani wapo tayari ndiyo maana CCM wanatumia pesa nyingi kuwadhoofisha kuwabambikia kesi kuwapiga risasi, wasingekuwa tayari hata CCM isingetumia pesa za viwanda kuihujumu chadema ingejenga viwanda kwa wingi zaidi.
 
Hatutaki Rais wa kujaribisha uongozi tunataka Rais asie wanyenyekea wakoloni
Kuwa kuwaomba mikopo mpaka uwanja wa soka Dodoma aliomba msaada Morocco Nchi masikini tu, kutwa kuwaomba omba wakoloni ni vigumu kuitenganisha CCM na uombaji ombaji kwa wakoloni.
 
Magifuli kwa Lissu / Lissu atashinda asubui na mapema cha muhimu hapo Independent committee.
Uchaguzi ukiwa huru na haki chini ya usimamizi wa UN na jumuia zote Duniani ni vigumu CCM kushinda hata wabunge watatu tu, hakuna mtu mzima mwenye Akili timamu anaichagua CCM sasa.
 
Wewe na Kabudi uelewa wa forein policy ni mdogo!!
TAMLissu hata Wasukuma wa Nyangwale na Kahama yote ndg zao waliofukiwa wakiwa hai kwenye mashimo ya dhahabu wanamfahamu!!
Lengo la kumuondoa mapema kwe ye ulingo lilifeli sasa tuliauone moto wake!!
Natamani Lissu arudi mapema ili kazi ianze!!
Wote walioathiriwa na uwekezaji wa Dhahabu Kahama,Bulyankhulu,North Mara na kwingineko wanamfahamu kwa kuwa alisimama nao kudai haki yao baada ya kuporwa migodi yao,kufukiwa mashimoni/kuuwawa kwa risasi na sumu za kemikali za migodini kwa msaada wa CCM.Aliwatetea bila kuchoka huku akihatarisha uhai wake.
CCM wanapambana Naye usiku na mchana,wamemfungulia kesi nyingi sana,walipoona hawana dalili ya kumfunga jela wakamshambulia mchana kweupee ili afe,waliposhindwa hili wakamnyima matibabu,wakamnyima mishahara,wakaona hafi wakamvua ubunge na sasa wanapanga mapigo mengine.
Yote hiyo ni kwa sababu wanafahamu fika iwapo CDM wakimpa nafasi ya kugombea urais Mh.Lissu basi CCM hawatoboi,watagaragazwa mapema hata kwa Tume iliyopo.
 
Uchaguzi ukiwa huru na haki chini ya usimamizi wa UN na jumuia zote Duniani ni vigumu CCM kushinda hata wabunge watatu tu, hakuna mtu mzima mwenye Akili timamu anaichagua CCM sasa.
Ni kweli, ila hilo ni utopian idea mkuu
 
Kama hurb ni kenya kwa nini balozi wa kenya nchini TZ alijiliza kwenye conf na waandishi wa habari baada TZ kufunga mpaka na KNY?
Kidunia,kila nchi zinategemeana.
Pesa ya Kenya ndio imeijenga Arusha,mwanza na Moshi
 
Back
Top Bottom