Themagufulianz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2017
- 4,548
- 1,988
Lisu ndiye kiongozi anayepaswa Kuongoz Tanzania, hawa wengine wote hawafai hata kidgo, kila vitu vyao vina utata. Elimu ya lisu haina utata hata tone na ndiyo inamfanya awe mjenga hoja mzuri na kimbilio la kila mpenda haki. Matanga wanaumia sana
Wewe na Kabudi uelewa wa forein policy ni mdogo!!Hatutaki Rais wa kujaribisha uongozi tunataka Rais asie wanyenyekea wakoloni
Tundu Leso aje,aje mapema sana. agombee CDM watanzania tumuadhibu kwa vitendo,kwa kuipaka tanzania matope kwa mabeberu.Wewe na Kabudi uelewa wa forein policy ni mdogo!!
TAMLissu hata Wasukuma wa Nyangwale na Kahama yote ndg zao waliofukiwa wakiwa hai kwenye mashimo ya dhahabu wanamfahamu!!
Lengo la kumuondoa mapema kwe ye ulingo lilifeli sasa tuliauone moto wake!!
Natamani Lissu arudi mapema ili kazi ianze!!
Kama hurb ni kenya kwa nini balozi wa kenya nchini TZ alijiliza kwenye conf na waandishi wa habari baada TZ kufunga mpaka na KNY?Si kweli,Hub ni Kenya.
Na party tushafanya kusherehekea ukomo wa 'KOLONA'.Hatuyaangalii hayo madudu yako. Tunamtaka huyu huyu tuliye naye. Kumbuka, katuvusha salama coronani
Aache tume iwe huru tuone huo ubest wake kwenye kura.Asihangaike kuingiza watu necMagufuli the best president atashinda asubui tu tena kwa kura nyingi sana amefanya makubwa
Mzee wa MIGA kabisa ashinde urais? Basi Tanzania itakuwa nchi ya ajabu kabisa kuwahi kutokea
Wapinzani wapo tayari ndiyo maana CCM wanatumia pesa nyingi kuwadhoofisha kuwabambikia kesi kuwapiga risasi, wasingekuwa tayari hata CCM isingetumia pesa za viwanda kuihujumu chadema ingejenga viwanda kwa wingi zaidi.NAUSAPOTI UPINZANI KWA SANA ILA SIJAONA KAMA WAKO TAYARI KUSHIKA NCHI
Kuwa kuwaomba mikopo mpaka uwanja wa soka Dodoma aliomba msaada Morocco Nchi masikini tu, kutwa kuwaomba omba wakoloni ni vigumu kuitenganisha CCM na uombaji ombaji kwa wakoloni.Hatutaki Rais wa kujaribisha uongozi tunataka Rais asie wanyenyekea wakoloni
Lissu Ni chumaJPM jembe
Uchaguzi ukiwa huru na haki chini ya usimamizi wa UN na jumuia zote Duniani ni vigumu CCM kushinda hata wabunge watatu tu, hakuna mtu mzima mwenye Akili timamu anaichagua CCM sasa.Magifuli kwa Lissu / Lissu atashinda asubui na mapema cha muhimu hapo Independent committee.
Wote walioathiriwa na uwekezaji wa Dhahabu Kahama,Bulyankhulu,North Mara na kwingineko wanamfahamu kwa kuwa alisimama nao kudai haki yao baada ya kuporwa migodi yao,kufukiwa mashimoni/kuuwawa kwa risasi na sumu za kemikali za migodini kwa msaada wa CCM.Aliwatetea bila kuchoka huku akihatarisha uhai wake.Wewe na Kabudi uelewa wa forein policy ni mdogo!!
TAMLissu hata Wasukuma wa Nyangwale na Kahama yote ndg zao waliofukiwa wakiwa hai kwenye mashimo ya dhahabu wanamfahamu!!
Lengo la kumuondoa mapema kwe ye ulingo lilifeli sasa tuliauone moto wake!!
Natamani Lissu arudi mapema ili kazi ianze!!
Ni kweli, ila hilo ni utopian idea mkuuUchaguzi ukiwa huru na haki chini ya usimamizi wa UN na jumuia zote Duniani ni vigumu CCM kushinda hata wabunge watatu tu, hakuna mtu mzima mwenye Akili timamu anaichagua CCM sasa.
Kidunia,kila nchi zinategemeana.Kama hurb ni kenya kwa nini balozi wa kenya nchini TZ alijiliza kwenye conf na waandishi wa habari baada TZ kufunga mpaka na KNY?
Una matatizo ya ndoa inaonekana!Mmeamua kumchafua tu, lakini Lissu ni Messiah hata Herrord afanye nini maandiko yatatimia.
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Acheni masikhara jamani yaan picha ya lisu iwe ofisini kwangu eti ni namba moja wa nchi