Rais Magufuli jitahidi uache uvunjaji wa sheria! Let justice take its natural course!

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Inawezekana kweli ametenda kosa kuchana Qurani, amewaudhi wengine, Lakini

1. Kuna taratibu tumejiwekea za kushughulka na watu kama hao wanaoamsha hasira za wengine! Uliapa kulinda katiba na sheria zitokanazo na katiba hiyo. Kunatartibu! Wewe huna mamlaka ya kisheria kumwajibisha. Mihemko ya nini? Niwie radhi kuwa this is cheap popularity and to win the Islamic community!

2. Umeshaidharau mahakama kwa kusema ashinde asishinde nimeshamfukuza kazi! Matamshi kama hayo ni ya kidictator katika nchi ambayo ni lawlessness. Unajipa ukuu wa kuwa juu ya mahakama na sheria maana unaapa kutoisikiliza mahakama in case anakwenda mahakamani na kushinda!

3. Hili siyo tukio la kwanza Nakuwekea kesi ya Dibagula uone how such issues are handled in a law abiding regime!
 
Attachments

Rais kama muajiri mkuu wa Serikali na aliyechana Quran ni muajiriwa wa Serikali na serikali imeweka viwango vya nidhamu na maadili ambavyo vingine vipo nje ya sheria ila ndani ya mamlaka ya ajira, kumfukuza mtu aliyefanya hivi si kosa.

Mahakàmà itaangalia kosa kwa upànde wa kisheria na serikali imeangalia kosa kwa upànde wa maadili na si makosa yote ya kimaadili yanavunja sheria, mengine yanavunja taratibu za kazi na za kiutumishi.

Mfano mtu kaenda kazini kalewa, hilo ni kosa la kimaadili ambalo sheria haiwezi kumkuta na kosa.

Rais hajavunja sheria yeyote ila katekeleza wajibu kama muajiri mkuu na msimamzi wa maadili wa watumishi wote wa umma
 
Anajua kila kitu mkuu. Mara haongelei masuala yaliyoko Mahakamani, Leo kafukuza mtu kazi kwa kesi iliyoko mahakamani. Najua watetezi wake watasema hizo alizochukua ni disciplinary action, lakini unamfikisha mtumishi mahakamani kisha unamchukulia hatua za kinidhamu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kufukuzwa au kisimamishwa kabla au baada ya kufunguliwa mashtaka ndio njia salama zaidi ya kudhibiti uhalifu.

Rais katenda wajibu wake kama muajiri kwa muajiriwa mwenye utovu wa nidhamu na ukosefu wa maadili.

Mahakamani kapelekwa akajibu mashtaka kama mhalifu ambapo yeyote angepelekwa Kama angefanya aliyofanya.

Kwa hiyo Kuna pande, Kuna adhabu ya muajiri kwa mwajiriwa na Kuna adhabu ya kisheria ya mahakàmà. Mwajiriwa halazimishwi na sheria ila kanuni na taratibu za ajira kwa mfano: mlevi anaweza kufukuzwa kwa kulewa kazini lakini sheria inaweza kutoona kosa lake na kumwachia hiyo haimaanishi mwajiriwa ana haki ya kumrudisha
 
Watakachofanya watu wa Utumishi (hiring authority) ni kumtafutia kosa huyu bwana. Kwa kuwa yupo ndani bila dhamana, easily wanaweza kusema hajareport kazini bila taarifa na/au ruhusa ya mwajiri. I am sure lazima watafute means kubariki maamuzi ya bwana Pombe
 
Kosa ndio hilo la kuchana juzuu bwashee!
 
Watakachofanya watu wa Utumishi (hiring authority) ni kumtafutia kosa huyu bwana. Kwa kuwa yupo ndani bila dhamana, easily wanaweza kusema hajareport kazini bila taarifa na/au ruhusa ya mwajiri. I am sure lazima watafute means kubariki maamuzi ya bwana Pombe
Rais kwa mamlaka yake ni muajiri mkuu wa Serikali hivyo ana mamlaka yote ya kumuajiri na kumfukuza yeyote ndani ya JMT kwa sababu yoyote bila kumtaarifu yoyote juu ya ukomo wako wa ajira.

Hata kama ni ngumu kuwatoa baadhi ya watumishi kama CAG na majaji lakini katiba imesema hapana kama Rais hatoweza kuwaondoa hao dhanà nzima ya muajiri mkuu inapotea ndio maana kawekewa utaratibu wa kumtoa na anaweza kumtoa.

Kwa hiyo Rais anaposema Fulani atoke hakihitajiki kingine zaidi ya kutangazwa nafasi ipo wazi na mtu anajazwa
 
Rais kama muajiri mkuu wa Serikali na aliyechana Quran ni muajiriwa wa Serikali na serikali imeweka viwango vya nidhamu na maadili ambavyo vingine vipo nje ya sheria ila ndani ya mamlaka ya ajira, kumfukuza mtu aliyefanya hivi si kosa.

Mahakàmà itaangalia kosa kwa upànde wa kisheria na serikali imeangalia kosa kwa upànde wa maadili na si makosa yote ya kimaadili yanavunja sheria, mengine yanavunja taratibu za kazi na za kiutumishi.

Mfano mtu kaenda kazini kalewa, hilo ni kosa la kimaadili ambalo sheria haiwezi kumkuta na kosa.

Rais hajavunja sheria yeyote ila katekeleza wajibu kama muajiri mkuu na msimamzi wa maadili wa watumishi wote wa umma
Technically, Rais hana mamlaka ya kumfukuza kazi mwajiriwa wa serikali .....!!
 
Rais kama muajiri mkuu wa Serikali na aliyechana Quran ni muajiriwa wa Serikali na serikali imeweka viwango vya nidhamu na maadili ambavyo vingine vipo nje ya sheria ila ndani ya mamlaka ya ajira, kumfukuza mtu aliyefanya hivi si kosa.

Mahakàmà itaangalia kosa kwa upànde wa kisheria na serikali imeangalia kosa kwa upànde wa maadili na si makosa yote ya kimaadili yanavunja sheria, mengine yanavunja taratibu za kazi na za kiutumishi.

Mfano mtu kaenda kazini kalewa, hilo ni kosa la kimaadili ambalo sheria haiwezi kumkuta na kosa.

Rais hajavunja sheria yeyote ila katekeleza wajibu kama muajiri mkuu na msimamzi wa maadili wa watumishi wote wa umma
Mbona mwili unaupa kazi ya bule,kukibeba kichwa kisicho na kitu kwenye ubongo?kwani hicho kitabu alikichana akiwa ofisini?haitoshi Mwajili mkuu wa hao wote,akiwemo Rais ni mwananchi.
 
Sijui hata kama watawala wetu wanatambua kuwa nchi yetu kuwa "secural state" inamaanisha nini? Licha ya muhusika kufanya kitendo chenye maudhi kwa watu wenye imani iliyokuwa tofauti na ya kwake, lakini ingetosha muhimili wa mahakama ufanyie kazi suala hilo ambalo kwa mazingira ya wazi yalionyesha kuwa ni la kichochezi.

Ndiyo! Tendo hilo la kuchana juzuu tena mbele ya Waislamu, ni kutaka kuwachochea kwa makusudi ili wapate mihemuko isiyokuwa na ulazima wowote na hatimaye wakose uvumilivu, na pengine ktk kuitetea imani yao wapate sababu ya kulipiza kisasi, jambo ambalo linaweza kuwaingiza ktk kutenda jinai ama uvunjifu wa amani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa tuwekee hapa na kanuni inayoonesha kwamba MTUmishi akiwakwaza watu wa imani Fulani basi adhabu yake ni kutimuliwa kazi
Kufukuzwa au kisimamishwa kabla au baada ya kufunguliwa mashtaka ndio njia salama zaidi ya kudhibiti uhalifu.

Rais katenda wajibu wake kama muajiri kwa muajiriwa mwenye utovu wa nidhamu na ukosefu wa maadili.

Mahakamani kapelekwa akajibu mashtaka kama mhalifu ambapo yeyote angepelekwa Kama angefanya aliyofanya.

Kwa hiyo Kuna pande, Kuna adhabu ya muajiri kwa mwajiriwa na Kuna adhabu ya kisheria ya mahakàmà. Mwajiriwa halazimishwi na sheria ila kanuni na taratibu za ajira kwa mfano: mlevi anaweza kufukuzwa kwa kulewa kazini lakini sheria inaweza kutoona kosa lake na kumwachia hiyo haimaanishi mwajiriwa ana haki ya kumrudisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais kwa mamlaka yake ni muajiri mkuu wa Serikali hivyo ana mamlaka yote ya kumuajiri na kumfukuza yeyote ndani ya JMT kwa sababu yoyote bila kumtaarifu yoyote juu ya ukomo wako wa ajira.

Hata kama ni ngumu kuwatoa baadhi ya watumishi kama CAG na majaji lakini katiba imesema hapana kama Rais hatoweza kuwaondoa hao dhanà nzima ya muajiri mkuu inapotea ndio maana kawekewa utaratibu wa kumtoa na anaweza kumtoa.

Kwa hiyo Rais anaposema Fulani atoke hakihitajiki kingine zaidi ya kutangazwa nafasi ipo wazi na mtu anajazwa

..kwanza, nalaani kitendo alichofanya huyo kijana cha kudhalilisha QURAN.

..Lakini hiki ulichoandika ni UONGO.

..Mkapa aliwahi kufukuza watumishi kimakosa na serikali ilishindwa kesi mahakamani.

..Raisi hayuko juu ya sheria kama ulivyodanganya hapo juu.
 
Rais kama muajiri mkuu wa Serikali na aliyechana Quran ni muajiriwa wa Serikali na serikali imeweka viwango vya nidhamu na maadili ambavyo vingine vipo nje ya sheria ila ndani ya mamlaka ya ajira, kumfukuza mtu aliyefanya hivi si kosa.

Mahakàmà itaangalia kosa kwa upànde wa kisheria na serikali imeangalia kosa kwa upànde wa maadili na si makosa yote ya kimaadili yanavunja sheria, mengine yanavunja taratibu za kazi na za kiutumishi.

Mfano mtu kaenda kazini kalewa, hilo ni kosa la kimaadili ambalo sheria haiwezi kumkuta na kosa.

Rais hajavunja sheria yeyote ila katekeleza wajibu kama muajiri mkuu na msimamzi wa maadili wa watumishi wote wa umma
Kwani Quran ni nini?
 
Back
Top Bottom