Rais Magufuli jitahidi uache uvunjaji wa sheria! Let justice take its natural course!

Laanatullaah wewe kafiri unaejibanza kwenye dini tukufu ili uweze kutoa ushuzi wako ulioganda ubongoni, ukweli ni kwamba huyo mjinga mwenzio wa Morogoro kaanza kupata anachostahili na bado

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani Mtumishi anaweza kuondolewa katika utumishi wa umma na Rais kama inavyoelezwa katika kanuni ya 29 (1) ya Kanuni za Utumishi wa Umma. Hivyo huyu Jiwe wetu Mwamba wa TZ yuko sahihi kwa mukhtada huo. 😊😊
Soma upya hicho kifungu na ukielewe. Hicho kifungu hakitekelezwi kwa kukurupuka bali kina mchakato unaotangulia. Kwa taarifa yako B W Mkapa aliwaondoa Makamishna 5 mwaka 1996 lakini walipofungua kesi mwaka 2005 wakashinda na wakafidiwa mabilioni.
 
EINSTEIN112 believe me,Magufuli hata bila kura za kundi lolote atapita,mfumo uliopo sasa hivi Tanzania kwenye chaguzi zetu bado hatatokea wa kufanya ccm isishinde!

Tatizo ni mfumo na hivi magu amevifinyanga nyama vya upinzani ije mvua lije jua ngumu sana kuamua tofauti na wanachokitaka watawala.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
1:Cha kwanza acha unafiki wa kijinga ww siyo muislam,muislamu hawezi kumtetea mtu aliye kidharirisha kitabu ambacho anaamimi ni kitukufu.

HUU NI UHURU WA KUZUNGUMZA, KILA DINI INA MADHAIFU FLANI NDIO MAANA, YAKAIBUKA MADHEHEBU NAYO YAMETOKEA KTK KUSIMAMIA VITABU HIVO HIVO, USIFORCE MTU AWAZE KAMA WEW KWA MWAMVULI WA DINI.


3:Kitendo alicho fanya huyu jamaa ni inshara tosha ya chuki yake dhidi ya uislam na waislam, kwa mujibu wa sheria ni kosa kuonesha chuki hadharani dhidi ya jamii yeyote haijalishi unakubaliana na maono yake au la.

HII HOJA YAKO HAINA MASHIKO KUITUMIA KUMPINGA JAMAAA HAPO JUU. KWANINI??
KWANZA KTK ASILIMIA KUBWA YA WATU WANAONGOZA KUHUBIRI CHUKI DHIDI YA IMANI NYINGINE, WANAJULIKANA NI WAKINA NANI. IMEFIKIA HATUA WATU KUANZISHA MAKUNDI YA KIGAIDI KWA AJILI YA KUHARIBU NA KUUA WATU WA IMANI ZINGINE.

IMEFIKA HATUA WATU WA MKABALA HUU WENGINE, HAWATAKI KUCHANGAMANA NA WATANZANIA WENGINE KISA TU IMANI.

NIMESOMA, KUFANYA KAZI NA WATU WA JAMIII HIII, NI WABAGUZI WA WAZI WAZI, HATA KATIKA MAOFISI HUKO, KUNA AMBAO UKIENDA KUFATA HUDUMA WAPO WATAO KUBAGUA KISA DINI.

UMEWAHI KUISIKIA POPOTE HATUA INACHUKULIWA?? WENGINE WANADILIK KUFANYA FUJO KWA IMANI ZINGINE KISA TU, WAMEKULA CHAKULA KTK MWEZI WAO. VIP WAME GUSWA? SIO DOUBLE STANDARD NI NIN? TUACHE UNAFKI TUIONE PEPO


4: huyo aliye sema yesu sio mungu hana kosa kwa sababu yeye alitoa maoni yake jambo ambalo limeruhusiwa na katiba, ya kwamba unaruhusiwa kuamini chochote kwa imani yako Lakini usingilie au kukiharibu anacho amini mwenzio eti kwa sababu hukubaliani nacho,na ndio maana serikali imeruhusu midaharo mbali mbali kati ya dini tofauti hata hapa jf kuna jukwaa la dini.

UKISEMA YESU SIO MUNGU, NA HATA WENGINE KUFIKIA HATUA YA KUMUITA NABII TU, KWA IMANI YA MWINGINE NI TUSI, KUBWA, MNO. LAKINI WATU WANATULIA LIFE LINAENDA. IKITOKEA UPANDE HUO UNAOTETEA AKASEMWA NABII WENU, MTAANZA KUSEMA LUGHA ZA AJABU KISHA FUJO, HAMNA UVUMILIVU JE, HATUA ZIMEWAHI CHUKULIWA?? KUNA WENZENU WAMESABABISH SINTO FAHAMU NYINGI KUPIGA WATU NA WATUMISHI WENGINE. KISA SHEIKH WAO KABADILI DINI, WAO WAKAENDA VAMIIA MKUTANO.

UNAZUNGUMZIA MATERIAL DAMAGE??
KWANZA NADHANI MTU WA KUMSHIKILIA NI HUYO ALIYEMPA HIKO KITABU KAMA KUMPIMA, HAPO UME PROVOKE. SAWA NA WEW UMEPEWE ILIZI, UTAIHESHIMU NA KUISHIKA KWA HESHIMA KAMA HUNA IMANI NAYO?? UKITUPA CHINI USHIKILIWE??

MBAGALA WATU WALIFIKIA HATUA KUCHOMA MAKANISA, KUHARIBU MALI ZA KANISA, JE KUNA WATU WAMESHIKILIWA?? ACHENI DOUBLE STANDARD, ACHENI UNAFKI MUONE PEPO.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona vitendo hivi vipo vingi tu. Wanafunzi wanakutana navyo, makazini wanakutana navyo. Watu wanatukanwa kuhusu dini yao na imani zao wazi wazi, wanakuwa wapole tu.

Ila wenzetu ndio hivo, ukiona mtu anashikilia hoja hizi, jua ndani yake kuna uchafu mwingi sana. Na kujionyesha nje kushika dini na kuitetea ni cover tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais Magufuli sijui huwa anakumbwa na nini!! Habadiliki wala hajifunzi. Anapenda sana kuropoka. Tamko lile ni kutenda kinyume cha kiapo chake.
 
Kwani masahaf iliochanwa kuna muislam yoyote kamsaidia pesa jamaa kuinunua?
Kama aliyesema yesu si Mungu alionekana hajatenda kosa kisheria kwakua yeye sio imani yake,basi hata huyu naye aliyechana hiki kitabu,kwakuwa hakiamini kinabaki kama kitabu kingine chochote nje ya masahaf,
Kifupi raisi amewahi sana,alitakiwa asubiri tasfiri sahihi ya mahakama.
 
Kuna taratibu na taasisi za kumwadhibu mtumishi wa umma kwa makosa ya kimaadili. Na katika taratibu hizo, hakuna mahali ambapo Rais amepewa mamlaka hayo.

Lakini jambo moja ambalo umefanya upotoshaji mkubwa ni kusema mahakama hazihusiki. Mwajiriwa anaweza kufukuzwa na Mwajiri wake, na mfanyakazi akarnda mahakamani, akashinda, na mahakama ikatoa amri/hukumu kuwa mfanyakazi arudishwe kazini. Na mwajiri ni lazima atii amri ya mahakama.
 
Aneongea mambo ambayo hayapo. Huebda hujawahi kuwa mwajiri. Sisi waajiri tunafahamu. Unaweza kumfukuza kazi mfanyakazi, akaenda mahakamani, akashinda, na mahakama ikaamuru umrudushe kazini au umlipe fidia. Ni lazima utii.
 
Mimi nadhani wewe ni mpumbavu kama huyo aliye chana hicho kitabu na upumbavu wake unaenda kuigharimu familia yake hasa walio kuwa wanamtegemea kupitia hiyo kazi.
Maana ninavyo jua kuna walio kuwa wanapata elimu nzuri kupitia kwake, chakula kizuri, matibabu mazuri,sasa hayo yote wanaenda kuya kosa kwa upumbavu wa baba yao.
Wewe kama unaona alicho kifanya huyo mwehu ni sawa, na wewe toka nyuma ya Id feki ufanye tukuone ushujaa wako ulipo.
Asilimia 80 ya familia za kitanzania zina dini mchanganyiko waislam na wakristo ikiwemo na ya kwang Kwa hiyo kwa sababu hauamini uislam ni halali kwako kuchoma hata msikiti wao?
 
Yeye kosa lake n kwenda kuchukua kitabu ambacho haki muhusu na kukichana ,kama hanaimani kuhusu quran ili tosha kuongea tu kwa mdomo nadhani yasingemkuta yaliomkuta ila kitendo cha kuchana kaonesha nikiasi gani uislamu kautia mfukoni ,kitu ambacho km kisingechuliwa hatua basi labda saizi tungekua na taswira nyinge zaid ya hii tunayo ijadili saizi na pia imemsaidia katika usalama wake sababu waislamu wasingekubali kumuacha tu kwa kitendo alichofanya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi nawewe nenda kachane tukuone ushujaa wako .
 
Tulia mzee. Mbona unashindwa handle mazungumzi unajaaa jazba, unadhidi ku prove na kuonyesha, busara ili hama kambi yako.

Hakuna sehem imesemwa hapo juu na mimi kupongeza wala kutetea tukio.

Nimeongelea ufinyu wa hoja zako na Double standard.

Unashida kisaikolojia hamtaki kosolewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaffo kumsimamisha elimringii kazi kisheria ni sawa. Tatizo elimringi kajionyesha ni mtu mpumbavu wala sio ujinga ndio umemsababisha kutenda alichokitenda. Ingekua ujinga mtu anaweza elimishwa. Hii upumbavu ndio naona mwajiri mkuu wa serikali kaona huyo pimbi hamfai. Kisheria itabidi iwe kumwachisha kazi badala ya kumfukuza. Hapo itabidi apewe haki zake zote. ..ikumbukwe elimringi hajamkosea mwajiri wake ila umma.
 
Kama wewe ni Muislamu wa kuzaliwa ndio tukuelewe vipi? kuwa unaijua dini yako vizuri au unauchungu nayo?
Hili tukio limewaibua watu wengi sana wasiojielewa au walioamua kudhihirisha upeo wao wa akili. Jamaa kafanya kitendo ambacho kitasababisha uvunjifu wa amani hadharani akiwa kazini, ulitaka achukuliwe sheria gani? Alichofanya Rais ni sawa, hawezi kula pesa zetu za kodi huku anatudhihaki.
 
Kuwa mkristo au moslem haikupi right ya kuchana vitabu vya dini ,hata kama haukiamini ,amini kwa Allah au Mungu lakini usikashifu vitu vya wengine
 
Sasa janja, mbona sijaon mkizungumz kuhusu uchomaji wa makanisa, kama kweli mnapenda na kuheshimu dini zingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…