Ujinga ni mzigo.
1. Anaachishwa kazi kwa tamko au kwa sheria, taratibu na kanuni?
2. Mimi naamini Yesu ni Mungu, wewe huamini. Unaamua kuutangazia umma kuwa ukristo ni dini ya uongo maana wanakufuru kwa kusema Yesu ni Mungu. Unawatendea haki wanaoamini hivyo? Kwa nini usitangaze dini yako bila kuitaja ya mwenzio? Si kila mtu ana uhuru wa kuamini? Kwa nini uhatarishe uhuru huo?
3. Wewe ni muislam, unaamini kuwa Mohammad ni mtume wa mwenyezi Mungu. Mimi niseme yule ni tapeli tu, kwanza mbakaji. Alioa mtoto wa miska 14 akawa ana mbaka, mtume wa Mungu anakuwa mbakaji? Dini ya uislam ni dini ya mapepo na mashetani ndio maana wanafuga majini.
Vp hapo ntakuwa sawa siyo? Maama natoa maoni yangu kama ulivyotoa kule juu.
Sasa basi
1. Alichofanya mchana Qur'an, hana tofauti na kinachofanywa na wanaoamini na kutoa ya moyoni kila siku wakidhani ni uhuru wa maoni. Vyote ni ujinga tu na kutojitambua.
2. Sisi wafuasi ndiyo wajinga zaidi. Unaanzanje kuwa na hasira dhidi ya mtu anayeonesha kutoelewa kile unachoamini? Hivi kati yako na Mungu nani anaumia? Kwa nini uoneshe hasira zako kwa mtu huyo wakati Mungu yupo na anatakiwa ajitetee mwenyewe? Au Mungu huyo ni dhaifu hawezi kujipigania? Mchana msahafu Mungu kamuona, amwadhibu yeye, sisi wanadam tusichukue nafasi ya Mungu maana tutathibitisha kuwa Mungu hayupo au ni dhaifu.
3. Achukuliwe hatua kwa kuzingatia STK
Sent using
Jamii Forums mobile app