Rais Magufuli jitahidi uache uvunjaji wa sheria! Let justice take its natural course!

Rais Magufuli jitahidi uache uvunjaji wa sheria! Let justice take its natural course!

My point is , it is not the president to handle such an issue. If he has to act, he is to be gudeb by law and reason not arbtrarily and self esteem!
Sikupingi moja kwa moja . ila nakukumbusha kabla hutumia Case law kujustify arguments zako unatakiwa uangalie kwanin mahakama ilifikia maamuzi hayo.
na kutambua hilo analogy inatakiwa kuangaliwa pamoja na cirmustance ya kesi nzima iliopelekea judge kufikia maamuzi yale.

kesi ya Dibagula Samatta alisema hawezi kumtia hatiani yule jamaa kwa kusema yesu sio Mungu kwa kuwa alikuwa anahubilia waislamu na sio wakristo. kwa matiki hii ni kwamba kama angelifanya hilo swala Dibagula asingelifanya kwenye muhadhara wa kiislamu basi angekutwa na hatia .

Reasoning hii haiwezi fit kwenye swala tunalolijadili hapa. Hata kama haamini katika dini ya kiislamu huwezi fanya hicho kitu mbele ya hadhara yenye mchanganyiko wa watu wadini mbali mbali kufanya hivyo kutaka kuleta michafuko ya amani katika jamii kitu ambacho ni tofauti na maslahi ya umma.


so hiyo case hata sioni mantiki ya kuilinganisha na mjadala huuu haziendani hata kidgo

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Technically, Rais hana mamlaka ya kumfukuza kazi mwajiriwa wa serikali .....!!
Bro sheria usikurupuke
IMG_20200212_083000_3.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wewe ni Muislamu wa kuzaliwa ndio tukuelewe vipi? kuwa unaijua dini yako vizuri au unauchungu nayo?
Hili tukio limewaibua watu wengi sana wasiojielewa au walioamua kudhihirisha upeo wao wa akili. Jamaa kafanya kitendo ambacho kitasababisha uvunjifu wa amani hadharani akiwa kazini, ulitaka achukuliwe sheria gani? Alichofanya Rais ni sawa, hawezi kula pesa zetu za kodi huku anatudhihaki.
vipi alofanya mwamposa, yale anayofanya mzee wa upako, au yule muha wewe unayaona yapo sawa kwakuwa hawajagusa tabaka tawala? kumtawala mtu anayeamini kikombe cha babu wa loliondo ni rahisi sanaa
 
Magufuli alichofanya ni kufurahisha kundi fulani lakini alichofanya ni uvunjaji wa sheria ambao inabidi ukemewe huyu mtu hana hatia mpaka pale mahakama itakapomhukumu pia hatujui ni mazingira gani yaliyopelekea kutokea hilo tukio baada ya magufuli kuondoka madarakani tutashuhudia serikali ikilipa fidia kubwa kwa watu walionyimwa haki wakati wa utawala wake
Rais kavunja kifungu gani cha sheria? Soma post #326
 
Hayo mavitabu yameletwa na manyang'au ili watawale akili zetu leo mnabishana kukichana?by the way Employment is world slavery
 
[emoji23][emoji23][emoji23]kasome sheria vizuri raisi ni Nani
Kwa watumishi wa umma,,na anamlaka ya kumfukuza kazi mtumishi wa umma iwapo ameenda tofauti na matakwa na sheria zinazomwongoza za utumishi wa umma
Technically, Rais hana mamlaka ya kumfukuza kazi mwajiriwa wa serikali .....!!

kamati ya maamuzi magumu
 
Ndugu yangu kweli hata huzitambuwi alama za nyakati? Tangulini mahakama ikaingiliana na serikali kuu?
Amesema amemfukuza kazi ya serikal kuu hana kazi huko mahakaman ashinde au asishinde ila hana kazi.
Alie muajiri hamtaki sasa amevunja sheria wapi?
Tumekuwa hater wa serikal kiasi hakuna jema tunaliona.
Ulitaka amwache mtu anaye taka kulipuwa taifa letu kwa mambo kidini?
Huyu nimtu hatari sana

Kwa akili Ndogo walizonazo,Magu kawapatia wala hawatadai tena Masheikhe wao wanaoozea mahabusu na kura kwenye uchaguzi ujao watatoa hapo ndipo utajua siasa ni mwana haramu.Waislamu wengi walionekana kukereka na Masheikhe wao kusondekwa ndani kipindi kirefu bila kesi na wakuu waliona huu ni mwiba kwao walitafuta mbinu ya kuwakwamua hapo ili nyoyo za Waislamu ziwaelekee sasa Waislamu wote kura kwa ccm maana mbaya wao katendwa vibaya.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa akili Ndogo walizonazo,Magu kawapatia wala hawatadai tena Masheikhe wao wanaoozea mahabusu na kura kwenye uchaguzi ujao watatoa hapo ndipo utajua siasa ni mwana haramu.Waislamu wengi walionekana kukereka na Masheikhe wao kusondekwa ndani kipindi kirefu bila kesi na wakuu waliona huu ni mwiba kwao walitafuta mbinu ya kuwakwamua hapo ili nyoyo za Waislamu ziwaelekee sasa Waislamu wote kura kwa ccm maana mbaya wao katendwa vibaya.


Sent using Jamii Forums mobile app

Acha chuki na dharau dhidi ya waislamu
Hakuna mahali waislamu nchi hii wamemshinikiza Magufuli amfute kazi huyo mlevi, mdini asiye na adabu.

Kwa hiyo wewe unataka kuwaambia watanzania kuwa huyo mlevi alitumwa na Magufuli aichane Quran, aitemee mate, kisha aikanyage ili baadae ajifanye anamwadhibu ili kuvutia kura za waislamu?

Nahisi na wewe ni mfia dini kama yule mlevi aliyetenda tendo lile baya kabisa la uchochezi
 
Muajili mkuu wa Rais ninani mkuu wangu??
Rais kama muajiri mkuu wa Serikali na aliyechana Quran ni muajiriwa wa Serikali na serikali imeweka viwango vya nidhamu na maadili ambavyo vingine vipo nje ya sheria ila ndani ya mamlaka ya ajira, kumfukuza mtu aliyefanya hivi si kosa.

Mahakàmà itaangalia kosa kwa upànde wa kisheria na serikali imeangalia kosa kwa upànde wa maadili na si makosa yote ya kimaadili yanavunja sheria, mengine yanavunja taratibu za kazi na za kiutumishi.

Mfano mtu kaenda kazini kalewa, hilo ni kosa la kimaadili ambalo sheria haiwezi kumkuta na kosa.

Rais hajavunja sheria yeyote ila katekeleza wajibu kama muajiri mkuu na msimamzi wa maadili wa watumishi wote wa umma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom