Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,168
- 10,810
Anajua kila kitu mkuu. Mara haongelei masuala yaliyoko Mahakamani, Leo kafukuza mtu kazi kwa kesi iliyoko mahakamani.
Najua watetezi wake watasema hizo alizochukua ni disciplinary action, lakini unamfikisha mtumishi mahakamani kisha unamchukulia hatua za kinidhamu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sijaelewa
Huyo jamaa kafukuzwa au hajafukuzwa????