Rais Magufuli: Kibamba mmejicheleweshea wenyewe maendeleo kwa kukosa mbunge sahihi huko nyuma ila sasa Mtemvu atawavusha!

Mbona Vunjo kuna maendeleo huyu Mnyika ni mzembe tu na amepungukiwa unyenyekevu!
Wewe naona kuna kitu unakitaka kutoka kwa wana Kilimanjaro na utakipata hasa kwa mtu kama wewe ambaye hujaolewa
 
Chatto ingekuwa kama Paris pia
 
Siasa za namna hii bado zipo kumbe?!!... Vijembe na taarabu tu asee.. wapambe kazi kuitikia kiitikio na kupiga vigelegele...

Utadhani kwenye wabunge wa rangi ya kijani kuna maendeleo...
Na ndiyo majimbo yaliyojaa mafukara kabisa
 
Naona bado una mahaba na cdm,jitazame usije zalishwa kama baba makusanya
Tuliwachangia akina Msigwa na Mbowe kuwatoa gerezani kwa sababu Chadema tunaipenda na tumewapeni wabunge 19 wa bure!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…