Rais Magufuli: Kibamba mmejicheleweshea wenyewe maendeleo kwa kukosa mbunge sahihi huko nyuma ila sasa Mtemvu atawavusha!

Rais Magufuli: Kibamba mmejicheleweshea wenyewe maendeleo kwa kukosa mbunge sahihi huko nyuma ila sasa Mtemvu atawavusha!

Hatutarudia tena kukosea tulijichelewesha sana sasa tuna lami nzuri kuanzia Goba mpaka Mbezi
 
Kongwa ingekua kama London kwani haiwajawahi kua na mbunge asie wa CCM miaka 60 ya uhuru lakini bado wanajisaidia vichakani, watoto wanakaa chini na kwenye vichaka. Hakuna madawati, hakuna madarasa watoto wanasomea vichakani...
Interesting
 
Back
Top Bottom