Rais Magufuli: Kibamba mmejicheleweshea wenyewe maendeleo kwa kukosa mbunge sahihi huko nyuma ila sasa Mtemvu atawavusha!

Rais Magufuli: Kibamba mmejicheleweshea wenyewe maendeleo kwa kukosa mbunge sahihi huko nyuma ila sasa Mtemvu atawavusha!

Tukumbuke kwaresma uongo haulipi
Majivuno
Kuna Nzige baada kujivuna tutauza mazao kwa waathirika wa Covid
 
Nadhan Mkoa wa Ruvuma ungekuwa mbali sana haijawah ongozwa na mpinzani lakn ndio mkoa.unaochukiza kwa umasikini wa kutupwa mji Kama Kijiji vileee
 
Duh mi nikajua sasa ndo barabara zitaanza kujengwa hivi hayo mabasi yanayoenda Tanga, Arusha, Kilimanjaro, Tanga na Pwani yatakatiza njia gani ili yapite barabara ya Bagamoyo?
 
Ni bahati mbaya sana kwamba nchi yenye hadhi yake Duniani imeangukia kwenye mikono ya huyu jamaa. Amalize tu muda wake aondoke. Huyu jamaa huwa hana ushahidi wa chochote anachoongea.

Kwa mfano, kuna mikoa kama Katavi, Rukwa, Dodoma huko nyuma haijawahi kuwa na mbunge wa upinzani lakini ipo hoi kwenye mambo mengi ya maendeleo.

Na kwa kweli mikoa yote ambayo imekuwa na wapinzani ndiyo yenye maendeleo makubwa. Katavi na Dodoma kwa mfano tangu uhuru haijawahi kuwa na mbunge wa upinzani. Angalia maendeleo yao ni ya chini mno!

Tumsamehe hajui atendalo.
 
Duh mi nikajua sasa ndo barabara zitaanza kujengwa hivi hayo mabasi yanayoenda Tanga, Arusha, Kilimanjaro, Tanga na Pwani yatakatiza njia gani ili yapite barabara ya Bagamoyo?
Goba!
 
Hivi PhD maana yake mini? Kwa hapa kwetu, philosophy au critical thinking ni masomo/course za lazima kwa ngazi ya PhD?

Au ni dharau tu kwa wananchi?

Napita tu.
 
Kongwa ingekua kama London kwani haiwajawahi kua na mbunge asie wa CCM miaka 60 ya uhuru lakini bado wanajisaidia vichakani, watoto wanakaa chini na kwenye vichaka. Hakuna madawati, hakuna madarasa watoto wanasomea vichakani.

Dodoma yote sasa hivi ingekua New York kwani hawajawahi kuchagua mbunge wa upinzani miaka 60 lakini zaidi ya nusu ya wakazi wa Dodoma ni omba omba.
Usisahau kuwa wanachamba kwa mchanga
 
Rais Magufuli leo amewashukuru wananchi wa Kibamba kwa kumpa kura nyingi wakati wa uchaguzi mkuu na pia kuchagua mbunge na madiwani wote wa CCM....

Isiwe tabu, tunasubiri hayo maendeleo sasa. Labda, kama kawaida yake, anajua baada ya mwaka tutakuwa tumesahau na kudandia propaganda nyingine.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Upuuzi mtupu! Kuna majimbo mangapi yenye Wabunge wa maccm na hayana maendeleo yoyote? Mfano jimbo la ndugai huyu hadi alizomewa mbele ya jiwe jimboni kwake.
 
Rais Magufuli leo amewashukuru wananchi wa Kibamba kwa kumpa kura nyingi wakati wa uchaguzi mkuu na pia kuchagua mbunge na madiwani wote wa CCM....
Sijafika SIKONGE miaka 3 sasa, nadhani kwa sasa inaikaribia Toronto.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Back
Top Bottom