Hawezi jua hayo maana " KOYU KEZA MBOCHI"Hivi huu uhaba wa sukari nchi nzima Kipindi hiki na Bei kupanda mpaka 5000 kwa kilo ,kweli serikali ya awamu ya Tano imeshindwa kupambana na Corona hata sukari?
Mnamuonea tu mzee wa watuHivi huu uhaba wa sukari nchi nzima Kipindi hiki na Bei kupanda mpaka 5000 kwa kilo ,kweli serikali ya awamu ya Tano imeshindwa kupambana na Corona hata sukari?
Kula kulala utawajua tuUgelikuwa ni wewe ungefanya kipi ambacho yeye hajakifanya? Nani kafanikiwa kuliko yeye? Mwache rais wetu, wewe sema utakalo.
Nipo hapa morogoto wiki nzima hakuna sukari kabisa.
Ugelikuwa ni wewe ungefanya kipi ambacho yeye hajakifanya? Nani kafanikiwa kuliko yeye? Mwache rais wetu, wewe sema utakalo.
MZEE "GUMA" kila akitia neno sehemu lazima maji yakorogeke hata "KORO SHOW" alivyoingilia tu soko likashuka........Sukari imepanda sana kisa kuleta ujuaji,wanasiasa waache soko liamue....Kama kweli wanatupenda waipitishe katiba ya warioba hayo mambo ya kuingilia sukari mara korosho ni kutaka kumuumiza mtu fulani ambaye hawajaenda naye sawa tu na sio kwamba wanajali waTZ.Hivi huu uhaba wa sukari nchi nzima Kipindi hiki na Bei kupanda mpaka 5000 kwa kilo ,kweli serikali ya awamu ya Tano imeshindwa kupambana na Corona hata sukari?
Ugelikuwa ni wewe ungefanya kipi ambacho yeye hajakifanya? Nani kafanikiwa kuliko yeye? Mwache rais wetu, wewe sema utakalo.
Umetumwa na mabeberuSerikali hii imejikita katika kupambana na Chadema pekee
Ile kauli ya Serikali ya Viwanda hata ventilators wameshindwa
Wakati Rwanda,Kenya na Uganda wanatengeneza Vents zao
Good questions ningekua Mimi Rais ningejua mda ambao viwanda hufungwa kwa ajili ya matengenezo, na pia ningejua kuwa mvua zikiwa nyingi viwanda vya sukari hufungwa! Kwa hiyo ningetangaza tender kwa waleta sukari tuagize sukari kutoka Brazil kabla ya stock yetu haijakaribia kuisha, una swali lingine nikusaidie? Linalo husiana na ningefanya nini Kama Rais?
Tanzania ya viwanda vipi, miaka5 hata sukari ni shida?Ugelikuwa ni wewe ungefanya kipi ambacho yeye hajakifanya? Nani kafanikiwa kuliko yeye? Mwache rais wetu, wewe sema utakalo.
Kajificha porini sasa ivi..Serikali hii imejikita katika kupambana na Chadema pekee
Ile kauli ya Serikali ya Viwanda hata ventilators wameshindwa
Wakati Rwanda,Kenya na Uganda wanatengeneza Vents zao