Rais Magufuli kwa miaka yote mitano sukari tu imemshinda

Rais Magufuli kwa miaka yote mitano sukari tu imemshinda

Hivi huu uhaba wa sukari nchi nzima Kipindi hiki na Bei kupanda mpaka 5000 kwa kilo ,kweli serikali ya awamu ya Tano imeshindwa kupambana na Corona hata sukari?
Hawezi jua hayo maana " KOYU KEZA MBOCHI"
 
[emoji16][emoji16][emoji16]
EXpnjfXXQAAvh7f.jpg
 
Ongeeni na wakubwa wanaomiliki mashamba na viwanda vya sukari nchini wazalishe sukari nyingi na wasilete vikwazo kwa sukari inayoingia kutoka Pakistan na nchi zingine
 
Sukari chali? Corona chali?SGR chali?Stiegersgorge chali ? Uchumi wa Kati utatufikisha kweli?Ndoto za mchana.
 
Hivi huu uhaba wa sukari nchi nzima Kipindi hiki na Bei kupanda mpaka 5000 kwa kilo ,kweli serikali ya awamu ya Tano imeshindwa kupambana na Corona hata sukari?
MZEE "GUMA" kila akitia neno sehemu lazima maji yakorogeke hata "KORO SHOW" alivyoingilia tu soko likashuka........Sukari imepanda sana kisa kuleta ujuaji,wanasiasa waache soko liamue....Kama kweli wanatupenda waipitishe katiba ya warioba hayo mambo ya kuingilia sukari mara korosho ni kutaka kumuumiza mtu fulani ambaye hawajaenda naye sawa tu na sio kwamba wanajali waTZ.
 
Ugelikuwa ni wewe ungefanya kipi ambacho yeye hajakifanya? Nani kafanikiwa kuliko yeye? Mwache rais wetu, wewe sema utakalo.

Good questions ningekua Mimi Rais ningejua mda ambao viwanda hufungwa kwa ajili ya matengenezo, na pia ningejua kuwa mvua zikiwa nyingi viwanda vya sukari hufungwa! Kwa hiyo ningetangaza tender kwa waleta sukari tuagize sukari kutoka Brazil kabla ya stock yetu haijakaribia kuisha, una swali lingine nikusaidie? Linalo husiana na ningefanya nini Kama Rais?
 
Ahsante. Je kuhusu Corona? Hujasema.
 
Kuna uwezekano mkuu atakapo tokea toka huko mafichoni, atafukuza mmoja wa viongozi wanao husika na sukari kuanzia kwenye bodi hadi kwenye wizara.

Hii yote ni njia ya kununua huruma kwa wananchi lakini watalaam wa siasa za sasa wanasema hilo halita mpa kiki sana kwa sababu alivyo chukulia poa issue ya corona.

Tatizo la sukari ni la kimkakati zaidi kwa sabahu corona haikuja ghafla.

Pia serikali ina namna ya kutoa ruzuku kwa wahusika kwa sababu kama soko la kimataifa sukari imepanda bei hakuna namna ya kulazikisha sukari iuzwe kwa bei ya chini kama serikali haita toa fidia kwa wauza sukari.

Tanzania bila udicteta inawezekana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali hii imejikita katika kupambana na Chadema pekee

Ile kauli ya Serikali ya Viwanda hata ventilators wameshindwa

Wakati Rwanda,Kenya na Uganda wanatengeneza Vents zao
Kajificha porini sasa ivi..
Muoga zaidi ya fisi..
Nasikia muda wote anasoma twitter maana huko anabamizwa kisawasawa na akina kigogo.
 
Back
Top Bottom