Rais Magufuli kwa miaka yote mitano sukari tu imemshinda

G Sam

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
11,795
Reaction score
36,704
Najiuliza ni nini tatizo?

Rais Magufuli alipoingia ikulu mgogoro namba moja aliouanzisha ni sukari. Sukari ghafla ikapanda bei, ikapotea mitaani.

Ilifikia hatua akatoa vitisho kuwa ataliruhusu jeshi likamate sukari iliyofichwa liigawe bure. Nakumbuka hii kauli wapiga zumari waliishangilia sana ila ilikopotelea anakujua mwenyewe.

Kwa miaka yote mitano ya utawala wake sukari haijawahi kupata suluhu na sasa imepotea tena sokoni. Nini tatizo? Mbona huu mgogoro kama una kitu nyuma ya pazia?

Sasa kama kwa miaka yote mitano sukari tu kashindwa kuipatia ufumbuzi, sijagusia sarakasi zake za makinikia? Inakuwaje hili la Corona?
 
Wakati anaingia madarakani, sukari ilikuwa imetulia kwenye 1,800 - 2,000 kwa kilo. Tena ilitulia haswaa, wala haikuwa ishu. Sasa Magu na kiherehere chake, sukari iikapanda hadi 6,000 kwa kilo. Baadae ika-settle 2,600 kwa kilo. Hapo akasikika akidanganya kuwa alikuta sukari inauzwa 5,000!
 
Najiuliza ni nini tatizo?

Rais Magufuli alipoingia ikulu mgogoro namba moja aliouanzisha ni sukari. Sukari ghafla ikapanda bei, ikapotea mitaani.

Ilifikia hatua akatoa vitisho kuwa ataliruhusu jeshi likamate sukari iliyofichwa liigawe bure. Nakumbuka hii kauli wapiga zumari waliishangilia sana ila ilikopotelea anakujua mwenyewe.

Kwa miaka yote mitano ya utawala wake sukari haijawahi kupata suluhu na sasa imepotea tena sokoni. Nini tatizo? Mbona huu mgogoro kama una kitu nyuma ya pazia?

Sasa kama kwa miaka yote mitano sukari tu kashindwa kuipatia ufumbuzi, sijagusia sarakasi zake za makinikia? Inakuwaje hili la Corona?
WEWE UTAKWENDA NA MAJI, SI UMESIKIA BUNDUKI ZILIVYOZAGAA MPAKA UKO KISHAPU KWA BWANA NCHAMBIS??
 
Hakuahidi kupambana na ishu ya sukari. Hilo ni jambo la waziri na lilisumbua tangu enzi za awamu ya kwanza sema wewe ulikuwa bado kwenye kiuno cha mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uwongo! Wakati wa Mkapa sukari ilikuwa sh. 400 kwa kilo. Enzi ya uwaziri wa Iddi Simba bei ikapanda hadi 600 kwa kilo. Hiyo tu ikasababisha aSimba ajiuzulu.c

Wakati wa JK sukari ikapanda hadi 2,000 kwa kilo. Kipindi hicho enzi za Operesheni Sangara ya CHADEMA. Baadae ikashuka hadi 1,800.

Alipoingia Magu ndio ikawa unstable mpaka leo. Magu amevuruga kabisa.
 
Bila kupepesa macho, kwenye sukari kuna udhaifu mkubwa Sana, karibu serikali zote hasa majira ya mwezi mtukufu, kuna nini?

Je mawaziri huwa wanaweka mikono Yao hapo? Hili la sukari ukweli ni janga haswa, ukweli usemwe, Serikali imechemka
 
IMG_20200506_171702.jpg
 
Mheshimiwa Raisi wetu, hili la sukari linahitaji tamko lako sasa, hakika kwani kwasasa bila neno lako hakuna kubwa linalofanyika, wengi wamesema lakini hakuna alieleta afadhali! Tunakusubiri wewe baba, umesema tupige kazi nasi tunapiga ila ili la kufuturu na uji wa chumvi ni ngumu kuvumilika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uwongo! Wakati wa Mkapa sukari ilikuwa sh. 400 kwa kilo. Enzi ya uwaziri wa Iddi Simba bei ikapanda hadi 600 kwa kilo. Hiyo tu ikasababisha aSimba ajiuzulu.c

Wakati wa JK sukari ikapanda hadi 2,000 kwa kilo. Kipindi hicho enzi za Operesheni Sangara ya CHADEMA. Baadae ikashuka hadi 1,800.

Alipoingia Magu ndio ikawa unstable mpaka leo. Magu amevuruga kabisa.
Kudos mkuu
 
Back
Top Bottom