Rais Magufuli: Lukuvi hawezi kuwa Mgombea urais wa CCM 2025 kwa sababu ana umri mkubwa. Ni fursa ya Vijana

Katiba haina ukomo wa juu wa umri kwa mgombea, labda wabadirishe katiba.
 
Chadema wataanza kuongelea Urais miezi mitatu kabla ya uchaguzi hahaha... succession plan muhimu wakati kazi zingine zinaendelea
 
Kwa kauli hiyo, sasa vijana wa CCM wataanza kujikomba komba kwa mzee, kulamba viatu na kuchongeleana nk - yaani kila mmoja kwa style yake ili mradi tu kujaribu kumfurahisha mzee kuelekea 2025...
Hivi unadhani ni rahisi KUMKABILI JPM ili UWACHONGEE wengine?!!!

Labda huyo atakuwa si MAGUFULI...
 
Marekani wana wazee wengi mana wanaishi maisha marefu compared na nchi za kiafrika vijana ni wengi kama unataka kushinda kirahisi weka kijana unless kama unataka shida
 
Hahaahhahahahahha.asante.kwakunipuzia sumuzangu
 
Natabili SULEIMAN JAFFO TU BE A CCM PRESIDENTIAL CANDIDATE. 2025
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…