Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chadema wataanza kuongelea Urais miezi mitatu kabla ya uchaguzi hahaha... succession plan muhimu wakati kazi zingine zinaendeleaMara hii wameanza kuongelea urais 2025! CCM kweli wameamua kuitafuna nchi milele liwe jua iwe mvua; hii nchi hawaiachii kwa "vikaratasi". Badala ya kuongelea vitu vya muhimu hususan tume huru ya uchaguzi, Katiba Mpya, etc. wanaanza kutajataja nani anafaa na nani hafai mapema hivi? Kwa mtindo huu, tundelee kuzoea "bao la mkono" miaka mingi ijayo!
Hivi unadhani ni rahisi KUMKABILI JPM ili UWACHONGEE wengine?!!!Kwa kauli hiyo, sasa vijana wa CCM wataanza kujikomba komba kwa mzee, kulamba viatu na kuchongeleana nk - yaani kila mmoja kwa style yake ili mradi tu kujaribu kumfurahisha mzee kuelekea 2025...
Uyo jamaa simtaki kabisa,Mwigulu ni katili zaidi ya Hitler
😂😂😂Chadema wataanza kuongelea Urais miezi mitatu kabla ya uchaguzi hahaha... succession plan muhimu wakati kazi zingine zinaendelea
Marekani wana wazee wengi mana wanaishi maisha marefu compared na nchi za kiafrika vijana ni wengi kama unataka kushinda kirahisi weka kijana unless kama unataka shidaKabudi kashaambiwa hawezi kuwa Rais...macho yamemmchomoka yakagonga kwenye lensi...yakarudi kwenye soketi
Kama sio miwani kuzuia saa hii tungeshasema mengine
Ila JPM sio poa kuwananga wanaomzidi umri,mbona Joe Biden kawa Rais na miaka 78.!
Au dhambi ya ubaguzi inaendelea.?
Swadakta!!Marekani wana wazee wengi mana wanaishi maisha marefu compared na nchi za kiafrika vijana ni wengi kama unataka kushinda kirahisi weka kijana unless kama unataka shida
Hahahahahahha punguza ukaliwamanenoUkiwa sasa una umri zaidi ya Dr Magufuli basi urais CCM sahau labda ukajaribu Ufipa!
Alikuwa RC na alikuwa mbunge pia. Tangu 1995 Lukuvi hajawahi kosa Ubunge chief. Mimi ni mwanajimbo wake.2005-2010 William Lukuvi alikosa Ubunge, hivyo katika muda huo akawa RC wa Dodoma na Dar es Salaam.
Tuweke sawa kumbukumbu zetu
Hahaahhahahahahha.asante.kwakunipuzia sumuzanguKabudi kashaambiwa hawezi kuwa Rais...macho yamemmchomoka yakagonga kwenye lensi...yakarudi kwenye soketi
Kama sio miwani kuzuia saa hii tungeshasema mengine
Ila JPM sio poa kuwananga wanaomzidi umri,mbona Joe Biden kawa Rais na miaka 78.!
Au dhambi ya ubaguzi inaendelea.?
Hakuna hata mmoja kati yaoMajaliwa je? Naona wagombea hapo ni Jaffo, January, Mwingulu.
Ongeza wengine
Naona waziri mpya wa ardhiLukuvi alimkodi Harmonize akampa milioni 60 aende akaimbe isimani wakati wapiga kura wake hata uhakika wa maji hawana.
Ikumbukwe Lukuvi ni mbunge wa isimani kwa miaka 20 mfululizo.
Shuleni ulichokitoa ni neno succession planChadema wataanza kuongelea Urais miezi mitatu kabla ya uchaguzi hahaha... succession plan muhimu wakati kazi zingine zinaendelea